Wakati wa magufuli watumishi wa umma walikuwa wanaitwa na tume ya maadili si tu kula kiapo Bali kuthibitisha mali wanazomiliki na upatikanaji wake ! Rais magufuli alikuwa mstari wa mbele kwa kujitokeza hadharani na kwenda tume kuhojiwa na kuweka wazi mali zake na upatikanaji wake ! Baada ya magufuli sijaona Tena rais na watendaji wake wakienda kuhojiwa na tume hiyo ! Nauliza tu kwamba mmeona Haina umuhimu au mmeamua Kila mbuzi akusanye awezavyo? Viongozi kwa sasa Wana ukwasi uliopitiliza !
Nimeona pesa inatafunwa sana kwa sasa
fix yako ni kwamba hiyo tume kuna muda ilifanya poa, hakuna kitu kama hichoSasa hapo nimefix nini we mtoto wa 2000?