Tume ya Madini, Eng. Yahya I. Samamba Acting Executive Secretary amekaimu kwa miaka 3 Hakuna Mtanzania mwenye uwezo wa nafasi hiyo?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Tanzania ina Rais wa ajabu sana, Tume ya Madini ni Taasisi muhimu sana nchini , cha ajabu

Eng. Yahya I. Samamba​

Acting Executive Secretary amekaimu nafasi hiyo kwa miaka 3 sasa.

Ina maana Tanzania hakuna mtu wa kuweza au mwenye uwezo kusimamia Tume ya madini ?

In aibu kubwa sana, hata Prof Manya umekosa uwezo wa kumshauri Rais tangu uteuliwe kuwa Naibu Waziri na kuachia nafasu hiyo muhimu kwa kipindi cha miaka 3?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…