peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mbona ni kawaida Mzee Kuanza na Initial Ya CPA ni kama walivyo DR, Mr na zingineKila kukicha TANZANIA haikosi vituko.
Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini.
Mfano ni huu hapa👇
1. CPA. William E. Mtinya
Director, Corporate Services Department.
2. CPA. Elikana P. Buremo
Director, Internal Audit Unit.
3. CPA. Mwagule D. Ikunga
Manager, Finance and Accounts Section.
Hii imetupa taharuki, na mambo yakienda hivi , Kuna siku utumishi wa umma ,utakuwa ni kijiamulia kuchagua cheo cha kujiita.
Mbona ni kawaida Mzee Kuanza na Initial Ya CPA ni kama walivyo DR, Mr na zingine
Haiuzwi-Ni kitabu!Nitanunua CPA yangu. Nimeelewa
Ni mara chache au kama sio zote kumkuta wakili anaanza kujiita Adv. ABCD, ila hao watu wa CPA na wahandisi, wanapenda sana. Lakini sio kesi, wamepambania taaluma hizo acha wajiite watakavyoNenda Marekani au UK, haya mavyeo mbele ya majina ni kwa watu kama medical doctors, Dentists na Veterinary Doctors.
Tanzania kuna mambo ya ajabu sana, kama Adv., Arch. Eng. CPA, Dr (za mchongo kama za wabonge baadhi)
Elimu ya vyeti ingeanzia huku, kila taaluma ingekuwa unatoa vyeti na watu wote wangeamua kuweka titles za walichosomea.
Marekani Gani unayozungumzia Dunia Nzima CPA..Lazma watambulishwe Kwa Initial Aidha kwa kuandikwa mwanzo mwa Jina au Mwisho wa Jina..Nenda Marekani au UK, haya mavyeo mbele ya majina ni kwa watu kama medical doctors, Dentists na Veterinary Doctors.
Tanzania kuna mambo ya ajabu sana, kama Adv., Arch. Eng. CPA, Dr (za mchongo kama za wabonge baadhi)
Elimu ya vyeti ingeanzia huku, kila taaluma ingekuwa unatoa vyeti na watu wote wangeamua kuweka titles za walichosomea.
Mkuu wakati mwingine ukisema hizo title ni za mchongo unatakiwa uoneshe ulizo nazo kati ya hizo ulizotaja. Sawa Mkuu.Nenda Marekani au UK, haya mavyeo mbele ya majina ni kwa watu kama medical doctors, Dentists na Veterinary Doctors.
Tanzania kuna mambo ya ajabu sana, kama Adv., Arch. Eng. CPA, Dr (za mchongo kama za wabonge baadhi)
Elimu ya vyeti ingeanzia huku, kila taaluma ingekuwa unatoa vyeti na watu wote wangeamua kuweka titles za walichosomea.
Wala sio case mkuu.Marekani Gani unayozungumzia Dunia Nzima CPA..Lazma watambulishwe Kwa Initial Aidha kwa kuandikwa mwanzo mwa Jina au Mwisho wa Jina..
Marekani wanatumia Mfumo wa Kuandika mwisho wa Jina kama Daktari anavyoandikwa..
Freddie matuja,CPA
Freddie matuja, MD
Ila sio mwanzo kama Uandishi wa Bristish
Dr Freddie Matuja
CPA freddie Matuja.
Tanzania Inafuata Mfumo wa British..
Eti CPA,Amosi makala!!wafrika bnana!!yaani ni shida,mbona wazungu wengi wala hukuti hayoMbona ni kawaida Mzee Kuanza na Initial Ya CPA ni kama walivyo DR, Mr na zingine
Watu wamekujibu hapo juu lakini binafsi uwa naamini watu wanaohangaika kuonyesha shule yao mara nyingi hawapo vizuri kitaaluma sababu shule ya mtu ni utendaji, ubunifu na uzoefu wako unatakiwa ukutofautishe na wasiokuwa na taaluma husika, hivyo vyeti umuhimu wake upo kwenye resume au linkedin unapokuwa unatafuta kazi au network kwa ajili ya career yako lakini siyo kila mahali. Ni kama vile hamna kitu kinasikitisha kama nikienda kwenye misiba halafu mfu aliyesoma anazungumziwa kwa shule yake kuliko mchango aliofanya hapa dunia kwa akili au elimu yake. Kwanini nimeandika haya, ukiangalia changamoto zetu hapa Tanzania ndani ya sekta zote iwe Uchumi, elimu, afya, maji,umeme,media, sheria,siasa nakadhalika inashangaza kuona kuna watu wanajiita wasomi na wameshika madaraka ya kufanya maamuzi wakati Nchi inaenda kombo lakini wamejaa na mavyeti kama wazee wa CPA.Kila kukicha TANZANIA haikosi vituko.
Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini.
Mfano ni huu hapa👇
1. CPA. William E. Mtinya
Director, Corporate Services Department.
2. CPA. Elikana P. Buremo
Director, Internal Audit Unit.
3. CPA. Mwagule D. Ikunga
Manager, Finance and Accounts Section.
Hii imetupa taharuki, na mambo yakienda hivi , Kuna siku utumishi wa umma ,utakuwa ni kijiamulia kuchagua cheo cha kujiita.
CPA zimeweza kuisaidiaje Tume ya madini, kutatua changamoto za Tume? Mapato ya Tume ya koje?Kila kukicha TANZANIA haikosi vituko.
Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini.
Mfano ni huu hapa👇
1. CPA. William E. Mtinya
Director, Corporate Services Department.
2. CPA. Elikana P. Buremo
Director, Internal Audit Unit.
3. CPA. Mwagule D. Ikunga
Manager, Finance and Accounts Section.
Hii imetupa taharuki, na mambo yakienda hivi , Kuna siku utumishi wa umma ,utakuwa ni kijiamulia kuchagua cheo cha kujiita.
Mbona Musukuma aliweza kununua PhD yake?! Hakuna kitu hakiuzwi Duniani.