Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,667
- 21,296
Kama alivyojidai mwenyewe kuwa Tume ya Jaji Chande ni yake yeye Rais Samia na kwamba watu hawana haki ya kuihoji,sasa ni wakati muafaka wa kuruhusu kualika Tume Huru za Kimataifa kuja kufanya uchunguzi wa nini kilisababisha mauaji ya kimbari yaliyofanywa na polisi wakishirikiana na vyombo vingine vya dola.
Jaji Chande ameshindwa kujibu maswali muhimu kama:
1. Nani aliyeamuru askari kuua raia?
2. Raia wangapi waliuawa?
3. Maiti wangapi walipatikana na kuzikwa na ndugu zao?
4. Maiti wangapi bado wanatafutwa na ndugu zao?
5. Makaburi ya halaiki yapo au hayapo?
6. Je kuna maiti waliochomwa katika matanuri ya Wazo Hill na kwingineko?
7. Je kuna wahusika wa mauaji wamefahamika kwa majina?
8. Je raia wangapi wametekwa na kupotezwa na watu wasiojulikana?
9. Je watu wasiojulikana ni akina nani?
10. Je intelijinsia ya polisi ina uwezo wa kitaaluma kuwabaini watu wasiojulikana?
Pia tungependa kufahamu Rais Samia anataka maridhiano na nani na anataka kuridhiana nini?