Umeuliza maswali ya msingi san cha ajab utashambuliwa badala ya kujibu hoja zako!!Kama alivyojidai mwenyewe kuwa Tume ya Jaji Chande ni yake yeye Rais Samia na kwamba watu hawana haki ya kuihoji,sasa ni wakati muafaka wa kuruhusu kualika Tume Huru za Kimataifa kuja kufanya uchunguzi wa nini kilisababisha mauaji ya kimbari yaliyofanywa na polisi wakishirikiana na vyombo vingine vya dola.
Jaji Chande ameshindwa kujibu maswali muhimu kama:
1. Nani aliyeamuru askari kuua raia?
2. Raia wangapi waliuawa?
3. Maiti wangapi walipatikana na kuzikwa na ndugu zao?
4. Maiti wangapi bado wanatafutwa na ndugu zao?
5. Makaburi ya halaiki yapo au hayapo?
6. Je kuna maiti waliochomwa katika matanuri ya Wazo Hill na kwingineko?
7. Je kuna wahusika wa mauaji wamefahamika kwa majina?
8. Je raia wangapi wametekwa na kupotezwa na watu wasiojulikana?
9. Je watu wasiojulikana ni akina nani?
10. Je intelijinsia ya polisi ina uwezo wa kitaaluma kuwabaini watu wasiojulikana?
Pia tungependa kufahamu Rais Samia anataka maridhiano na nani na anataka kuridhiana nini?
Viongozi wengi wa kisiasa na hasa viongozi wa CCM akiwemo Rais Samia wanatuona raia wa nchi hii kama watoto wao wa kuwazaa. Kwamba tunaweza kudanganywa kwa maneno matamu na kwa vizawadi vidogo vidogo vinavyotokana na kodi yetu wenyewe!Umeuliza maswali ya msingi san cha ajab utashambuliwa badala ya kujibu hoja zako!!
Tume huru ndio inakuaje? Au Kwa nini Chadomo msiunde Tume yenu?Kama alivyojidai mwenyewe kuwa Tume ya Jaji Chande ni yake yeye Rais Samia na kwamba watu hawana haki ya kuihoji,sasa ni wakati muafaka wa kuruhusu kualika Tume Huru za Kimataifa kuja kufanya uchunguzi wa nini kilisababisha mauaji ya kimbari yaliyofanywa na polisi wakishirikiana na vyombo vingine vya dola.
Jaji Chande ameshindwa kujibu maswali muhimu kama:
1. Nani aliyeamuru askari kuua raia?
2. Raia wangapi waliuawa?
3. Maiti wangapi walipatikana na kuzikwa na ndugu zao?
4. Maiti wangapi bado wanatafutwa na ndugu zao?
5. Makaburi ya halaiki yapo au hayapo?
6. Je kuna maiti waliochomwa katika matanuri ya Wazo Hill na kwingineko?
7. Je kuna wahusika wa mauaji wamefahamika kwa majina?
8. Je raia wangapi wametekwa na kupotezwa na watu wasiojulikana?
9. Je watu wasiojulikana ni akina nani?
10. Je intelijinsia ya polisi ina uwezo wa kitaaluma kuwabaini watu wasiojulikana?
Pia tungependa kufahamu Rais Samia anataka maridhiano na nani na anataka kuridhiana nini?
Ingefaa Chadomo muunde Tume yenu itaongozwa na kina Nshala,Mange ,wewe,Heche na wengine WA hivyo mlete majibu
Hiyo sio hoja, tume imesema yale hayakuwa maandamano bali ghasia tu. sasa hivi kila mtu anasubiri kujua nani alipanga na nani alitekeleza ghasia zile, finito. Hakuna mtanzania mjinga ataacha kuiamini tume iliyoongozwa na majaji wakuu wawili.Kama alivyojidai mwenyewe kuwa Tume ya Jaji Chande ni yake yeye Rais Samia na kwamba watu hawana haki ya kuihoji,sasa ni wakati muafaka wa kuruhusu kualika Tume Huru za Kimataifa kuja kufanya uchunguzi wa nini kilisababisha mauaji ya kimbari yaliyofanywa na polisi wakishirikiana na vyombo vingine vya dola.
Jaji Chande ameshindwa kujibu maswali muhimu kama:
1. Nani aliyeamuru askari kuua raia?
2. Raia wangapi waliuawa?
3. Maiti wangapi walipatikana na kuzikwa na ndugu zao?
4. Maiti wangapi bado wanatafutwa na ndugu zao?
5. Makaburi ya halaiki yapo au hayapo?
6. Je kuna maiti waliochomwa katika matanuri ya Wazo Hill na kwingineko?
7. Je kuna wahusika wa mauaji wamefahamika kwa majina?
8. Je raia wangapi wametekwa na kupotezwa na watu wasiojulikana?
9. Je watu wasiojulikana ni akina nani?
10. Je intelijinsia ya polisi ina uwezo wa kitaaluma kuwabaini watu wasiojulikana?
Pia tungependa kufahamu Rais Samia anataka maridhiano na nani na anataka kuridhiana nini?
Hiyo sio hoja, tume imesema yale hayakuwa maandamano bali ghasia tu. sasa hivi kila mtu anasubiri kujua nani alipanga na nani alitekeleza ghasia zile, finito. Hakuna mtanzania mjinga ataacha kuiamini tume iliyoongozwa na majaji wakuu wawili.
Ewe chawa hata hili uso mkavu hata aibu ya huoni kutetea huu upupu 🤣🤣🤣Tume huru ndio inakuaje? Au Kwa nini Chadomo msiunde Tume yenu?
Hawana uelewa wa mambo ya kisheria haswa zile za kimataifa.Tume huru ndio inakuaje? Au Kwa nini Chadomo msiunde Tume yenu?
Nyinyi CDM ndio mnafanana na hiyo picha, Rais SSH kafuatisha ushauri wa wataalam wa sheria za kimataifa.
Pumbavu washauri gani wa kimataifa wakati mashirika yote ya kimataifa yakiwemo UN, AU, SADC, Commonwealth nk walisema hakuna uchaguzi uliofanyika! Hao machawa wake ndiyo washauri?Nyinyi CDM ndio mnafanana na hiyo picha, Rais SSH kafuatisha ushauri wa wataalam wa sheria za kimataifa.
Huo ujinga wa kutaka kuifanya Tanzania iparaganyike hauwezi kuja kufanikiwa, mtaishia kushughulikiwa kila mara.
Walisema wao kina nani wakati tuliochagua viongozi ni sisi wananchi?. Nyinyi ndio kina Heche mliotaka kuikabidhi Tanzania kwa hao mabwana zenu wa Ulaya, imekula kwenu mazima.Pumbavu washauri gani wa kimataifa wakati mashirika yote ya kimataifa yakiwemo UN, AU, SADC, Commonwealth nk walisema hakuna uchaguzi uliofanyika! Hao machawa wake ndiyo washauri?
View attachment 3578627
Serikali haiwezi kuruhusu bila kuwepo shinikizo!Kama alivyojidai mwenyewe kuwa Tume ya Jaji Chande ni yake yeye Rais Samia na kwamba watu hawana haki ya kuihoji,sasa ni wakati muafaka wa kuruhusu kualika Tume Huru za Kimataifa kuja kufanya uchunguzi wa nini kilisababisha mauaji ya kimbari yaliyofanywa na polisi wakishirikiana na vyombo vingine vya dola.
Jaji Chande ameshindwa kujibu maswali muhimu kama:
1. Nani aliyeamuru askari kuua raia?
2. Raia wangapi waliuawa?
3. Maiti wangapi walipatikana na kuzikwa na ndugu zao?
4. Maiti wangapi bado wanatafutwa na ndugu zao?
5. Makaburi ya halaiki yapo au hayapo?
6. Je kuna maiti waliochomwa katika matanuri ya Wazo Hill na kwingineko?
7. Je kuna wahusika wa mauaji wamefahamika kwa majina?
8. Je raia wangapi wametekwa na kupotezwa na watu wasiojulikana?
9. Je watu wasiojulikana ni akina nani?
10. Je intelijinsia ya polisi ina uwezo wa kitaaluma kuwabaini watu wasiojulikana?
Pia tungependa kufahamu Rais Samia anataka maridhiano na nani na anataka kuridhiana nini?
Tume imemaliza kazi yake kwa mafanikio, nyinyi chawa wa Lissu poleni sana. Mlete ujinga mchezee kichapo halafu muanze kujiliza kwa ICC?, wapuuzi wakubwa nyinyi.Kenge wewe wala hakuna unachofaida zaidi ya uchawa!
View attachment 3578741