Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
Ahlan wa sahlan
Kama uzi unavyojieleza ,moja kwa moja nailenga tume ya taifa ya michezo ya bahati nasibu.Tunafahamu kuwa makampuni ya kamari yanalipa kodi kubwa kwa serikali ndio maana yanapewa vibali kuendesha shughuli zao za kinyonyaji.
Mada yangu inalenga zaidi katika online casino games kama virtual football,Roulette,Crypto crash games,spin wheels ,black jack,Red-black,dice games n.k kampuni hizi zinajinasibu kuwa michezo yao ni fair kutokana inatumia Random number generator na technolojia za juu kama provably katika kutoa matokeo ya michezo hiyo.Uhalisia ni kuwa hii si kweli.
Mtu anaweza kucheza mfano dice game odd-even ila utakuta unaweza kuweka even mara ya kwanza, majibu yakaja odd...ukaendelea kuweka even hata mara kumi mfululizo bado majibu yakaja odd ili mradi wabebe pesa yako , au unaweza ukacheza roulette ukafunika kila option na namba zote ukaacha labda namba mbili tu ukitegemea asilimia ya kimpira kunasa katika namba ulizochagua ni zaidi ya 95 huku asilimia za kukosa zikiwa ni 5 tu...ila maajabu ni kuwa hizo RNG zao zikaleta majibu ya mfululizo wa zile namba mbili tu ulizoziacha ili mradi wakulie pesa yako.
Ukija katika hesabu za probability hasa permutation hicho kitu kinakataa kwamba kuwe na series ya kutokea namba moja tu wakati wote.
Sasa sijui hii tume ya taifa ya kudhibiti hii michezo ina wataalamu kweli wa kuhakikisha kuwa hizi online casino games haziwi rigged? Au wanachoangalia tu ni pesa za leseni na kodi zinazolipwa na haya makampuni ya kamari huku wakiyaachia nafasi yaendelee kuwatia umasikini watanzania?