Pre GE2025 Tume ya taifa ya uchaguzi ilishatoa fomu kwa chaguzi za Rais, Ubunge na Madiwani? Naona CCM tayari wana mgombea wa Urais

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401
Tanzania tumeshasema tumechoka kuburuzwa na kundi dogo ndani ya nchi linalojiona lina hatimiliki ya nchi , tabia hizi za kuvunja katiba ya chama hususani mchakato wa uteuzi wa wagombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania hauwezi kuvumilika hata kidogo

Mchakato mzima uliofanyika tarehe 18/19 mwezi January ni batili kwa mujibu wa katiba ya CCM, kuna msemo unasema wazee wana busara lakini kuna waozeeka bila na kuwa na busara hizo kitendo cha mzee Kikwete kupenyeza ajenda hiyo na kushindwa kushauri hii inaonesha kuwa mengi anayomshauri Rais ni hatari kwa nchi maana amebaki yeye

Nanukuu siku ya mkutano mkuu wa CCM tarehe 18/1/2025 alisema kwa kinywa chake wachawi walishakufa, hili neno linaakisi mambo mengi aliyokuwa akiyashauri yalionekana zama hizo hayana tija ndiyo maana hayati Dk. Magufuli aliwahi kusema kuna wastaafu wanawashwa washwa. Hii alimaanisha pengine ushauri aliokuwa anapewa baadhi ya wastaafu ulikuwa hauna tija ndiyo maana aliamua kusema hadharani!

Wote mtakumbuka ya Bagamoyo port madudu kibao yaliibuliwa.
 
Hujui kitu wewe

Chama chaweza mteua mgombea wake hata miaka mitano kabla

Hayo ni mambo ya vyama.Muda ukifika anaenda tu kuchukua fomu tume ya uchaguzi

Lazima kule akachukue muda ukifika

Chadema hata nyie mkitaka teueni mgombea wenu hata leo hsta.mteue wabunge madiwani ni juu yenu

Hayo tume hayawahusu
 
Tanzania tumeshasema tumechoka kuburuzwa na kundi dogo ndani ya nchi linalojiona lina hatimiliki ya nchi , tabia hizi za kuvunja katiba ya chama hususani mchakato wa uteuzi wa wagombea uraisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania hauwezi kuvumilika hata kidogo , mchakato mzima uliofanyika tarehe 18/19 mwezi january ni batili kwa mjibu wa katiba ya ccm , kuna msemo unasema wazee wana busara lakini kuna waozeeka bila na kuwa na busara hizo kitendo cha mzee kikwete kuoenyeza ajenda hiyo na kushindwa kushauri hii inaonesha kuwa mengi anayomshauri raisi ni hatari kwa nchi maana amebaki yeye , na nukuu siku ya mkutano mkuu wa ccm tarehe 18/1/2025 alisema kwa kinywa chake wachawi walisha kufa , hili neno lina akisi mambo mengi aliyokuwa akiyashauri yalionekana zama hizo hayana tija ndiyo maana hayati dk john pombe magufuli aliwahi kusema kuna wastaafu wanawashwa washwa hii alimaanisha pengine ushuri aliokuwa anapewa baadhi ya wastaafu ulikuwa hauna tija ndiyo maana aliamua kusema hadharani! Wote mtakumbuka ya bagamoyo port madudu kibao yaliibuliwa.

Mimi naona nikiandika haitoshi nimerekodi voice note👇 sikiliza kwa umakini

Ibonyeze mara mbili kuisikiliza

🗣️▶︎•|၊|။||||။၊|။|||။03:53
 
Hujui kitu wewe

Chama chaweza mteua mgombea wake hata miaka mitano kabla

Hayo ni mambo ya vyama.Muda ukifika anaenda tu kuchukua fomu tume ya uchaguzi

Lazima kule akachukue muda ukifika

Chadema hata nyie mkitaka teueni mgombea wenu hata leo hsta.mteue wabunge madiwani ni juu yenu

Hayo tume hayawahusu
Mkuu suala siyo kuteua bali mchakato uliotumika kwenye teuzi ni sahihi?? Utaratibu ulifuatwa kwa mujibu wa Katiba ya Chama?? Kumbuka kazi ya kichwa siyo mwamvuli wa shingo.
 
Mkutano mkuu wa CCM ndio kikao cha juu chenye uwezo wa kuamua chochote

Mkutano mkuu Una uwezo hata wa kuvunja kamati kuu na halmashauri kuu na kubadili katiba waKitaka

Maamuzi yao ni ya mwisho

Hakuna mwanachama wala kamati kuu wLa halmashauri kuu aliye juu ya mkutano mkuu.Wote hao ni watoto wadogo mno kwa mkutano mkuu.Ni vitoto vidogo mno

Ngazi kuu ya mwisho ya uongozi na maamuzi kwa chama ni mkutano mkuu

Waweza hata kataa agenda za kamati kuu na halmashauri kuu wakaweka zao na waweza mtimua hata mwenyekiti wa chama taifa au makamu wake

Na walishawahi fanya hivyo kwa Raisi na makamu Aboud Jumbe alitimuliwa na mkutano mkuu wa Chama Dodoma
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Mkuu suala siyo kuteua bali mchakato uliotumika kwenye teuzi ni sahihi?? Utaratibu ulifuatwa kwa mujibu wa Katiba ya Chama?? Kumbuka kazi ya kichwa siyo mwamvuli wa shingo.
Kazi ya tume sio kuangalia mtu kapatikanaje kuwa mhombea wao humpa yeyote ambaye chama chake kimemteua

Huko walikomteua ilikuwaje sio kazi ya tume ni yao wenyewe wenye chama chao
 
Tanzania tumeshasema tumechoka kuburuzwa na kundi dogo ndani ya nchi linalojiona lina hatimiliki ya nchi , tabia hizi za kuvunja katiba ya chama hususani mchakato wa uteuzi wa wagombea uraisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania hauwezi kuvumilika hata kidogo , mchakato mzima uliofanyika tarehe 18/19 mwezi january ni batili kwa mjibu wa katiba ya ccm , kuna msemo unasema wazee wana busara lakini kuna waozeeka bila na kuwa na busara hizo kitendo cha mzee kikwete kuoenyeza ajenda hiyo na kushindwa kushauri hii inaonesha kuwa mengi anayomshauri raisi ni hatari kwa nchi maana amebaki yeye , na nukuu siku ya mkutano mkuu wa ccm tarehe 18/1/2025 alisema kwa kinywa chake wachawi walisha kufa , hili neno lina akisi mambo mengi aliyokuwa akiyashauri yalionekana zama hizo hayana tija ndiyo maana hayati dk john pombe magufuli aliwahi kusema kuna wastaafu wanawashwa washwa hii alimaanisha pengine ushuri aliokuwa anapewa baadhi ya wastaafu ulikuwa hauna tija ndiyo maana aliamua kusema hadharani! Wote mtakumbuka ya bagamoyo port madudu kibao yaliibuliwa.
Huyu kikwete Hana uzalendo hata kidogo, yaani kiufupi hafai kabisa
 
Hujui kitu wewe

Chama chaweza mteua mgombea wake hata miaka mitano kabla

Hayo ni mambo ya vyama.Muda ukifika anaenda tu kuchukua fomu tume ya uchaguzi

Lazima kule akachukue muda ukifika

Chadema hata nyie mkitaka teueni mgombea wenu hata leo hsta.mteue wabunge madiwani ni juu yenu

Hayo tume hayawah

Huyu kikwete Hana uzalendo hata kidogo, yaani kiufupi hafai kabisa
Huyo mzee haoni hatari iliyopo mbeleni yeye nikuangalia maslahi yake tu yasiguswe
 
Tanzania tumeshasema tumechoka kuburuzwa na kundi dogo ndani ya nchi linalojiona lina hatimiliki ya nchi , tabia hizi za kuvunja katiba ya chama hususani mchakato wa uteuzi wa wagombea uraisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania hauwezi kuvumilika hata kidogo , mchakato mzima uliofanyika tarehe 18/19 mwezi january ni batili kwa mjibu wa katiba ya ccm , kuna msemo unasema wazee wana busara lakini kuna waozeeka bila na kuwa na busara hizo kitendo cha mzee kikwete kuoenyeza ajenda hiyo na kushindwa kushauri hii inaonesha kuwa mengi anayomshauri raisi ni hatari kwa nchi maana amebaki yeye , na nukuu siku ya mkutano mkuu wa ccm tarehe 18/1/2025 alisema kwa kinywa chake wachawi walisha kufa , hili neno lina akisi mambo mengi aliyokuwa akiyashauri yalionekana zama hizo hayana tija ndiyo maana hayati dk john pombe magufuli aliwahi kusema kuna wastaafu wanawashwa washwa hii alimaanisha pengine ushuri aliokuwa anapewa baadhi ya wastaafu ulikuwa hauna tija ndiyo maana aliamua kusema hadharani! Wote mtakumbuka ya bagamoyo port madudu kibao yaliibuliwa.
Kikwete umeliangamiza taifa kwa mikataba ya kifisadi na kujinufaisha na genge lenu la wachache. Na bado mnawatesa wananchi kwa kuwaletea watawala wa kulinda maslahi na ufisadi wenu huku nchi ikiangamia. Kwenye kikao cha mkutano mkuu juzi Kikwete umekiuka katiba waziwazi kwa malengo yenu binafsi. Kwa kuendelea kuliumiza taifa mlaaniwe na vizazi vyenu.
 
Mkutano mkuu wa CCM ndio kikao cha juu chenye uwezo wa kuamua chochote

Mkutano mkuu Una uwezo hata wa kuvunja kamati kuu na halmashauri kuu na kubadili katiba waKitaka

Maamuzi yao ni ya mwisho

Hakuna mwanachama wala kamati kuu wLa halmashauri kuu aliye juu ya mkutano mkuu.Wote hao ni watoto wadogo mno kwa mkutano mkuu.Ni vitoto vidogo mno

Ngazi kuu ya mwisho ya uongozi na maamuzi kwa chama ni mkutano mkuu

Waweza hata kataa agenda za kamati kuu na halmashauri kuu wakaweka zao na waweza mtimua hata mwenyekiti wa chama taifa au makamu wake

Na walishawahi fanya hivyo kwa Raisi na makamu Aboud Jumbe alitimuliwa na mkutano mkuu wa Chama Dodoma
Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ni danganyatoto. Ile ni mali ya M/Kiti wa CCM Taifa. Nasema hivyo kwa sababu kuu moja. Yeye anapokalia kile kiti anakuwa ni Rais (Mkuu wa Serikalini), Amiri Jeshi Mkuu (Mkuu wa Vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama) na ni M/Kiti. Mjembe yupi atakaejaribu kumpinga?? Kwa hoja hata kama ina mashiko. Hata wewe mwenyewe unalifahamu hilo.

Mfano wako wa Aboud Jumbe ni kwamba alipishana misimamo na Mwl Nyerere juu ya Muungano. Nyerere ndiye aliyemtimua. Kama nilivyo sema ni nani mwenye ubavu wa kutoa maoni tofauti na M/ Kiti wa CCM Taifa??

Hata hili la juzi. Kajiteua mwenyewe kisha akajirusha kwa Wajumbe. Kuna mmoja alisema atoke nje atoe nafasi wamtete kidogo, aligoma na hakuna kilichotokea. Na alifanya hivyo kwa sababu ya nguvu ya Kimamlaka alyokuwa nayo.
 
Hilo halina ubishi,2025 mgombea wa CCM ni Mama Samia Suluhu Hassan, na watanzania wote tunampenda, na kura tutampigia ,Ushindi wa kishindo.
Mama ni Chaguo la Mungu,hatuwezi kuiacha hiyo lulu tukampigia mtu asieleweka.
2025,Tupo na Mama
 
Siyo wote mkuu sema wewe unsmpenda acha kusema wote
 
Back
Top Bottom