RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Tanzania tumeshasema tumechoka kuburuzwa na kundi dogo ndani ya nchi linalojiona lina hatimiliki ya nchi , tabia hizi za kuvunja katiba ya chama hususani mchakato wa uteuzi wa wagombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania hauwezi kuvumilika hata kidogo
Mchakato mzima uliofanyika tarehe 18/19 mwezi January ni batili kwa mujibu wa katiba ya CCM, kuna msemo unasema wazee wana busara lakini kuna waozeeka bila na kuwa na busara hizo kitendo cha mzee Kikwete kupenyeza ajenda hiyo na kushindwa kushauri hii inaonesha kuwa mengi anayomshauri Rais ni hatari kwa nchi maana amebaki yeye
Nanukuu siku ya mkutano mkuu wa CCM tarehe 18/1/2025 alisema kwa kinywa chake wachawi walishakufa, hili neno linaakisi mambo mengi aliyokuwa akiyashauri yalionekana zama hizo hayana tija ndiyo maana hayati Dk. Magufuli aliwahi kusema kuna wastaafu wanawashwa washwa. Hii alimaanisha pengine ushauri aliokuwa anapewa baadhi ya wastaafu ulikuwa hauna tija ndiyo maana aliamua kusema hadharani!
Wote mtakumbuka ya Bagamoyo port madudu kibao yaliibuliwa.