USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Mapungufu bila solution ni kelele
Ulitakaje boss, watu wameona mapungufu na wanayaweka wazi, je unatakaje hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitakaje boss, watu wameona mapungufu na wanayaweka wazi, je unatakaje hapo?
Sibili kipigo kama cha serkali za mtaaSawa
Hawa Jamaa wanaandaa mazingira ya wizi wa wazi wa kura,ukitaka kuhakiki hili watapinga ushauri na kushupaza shingo zao.Refa anawezesha fouls za wazi na goli LA mkono.Hii ni aibu na ndiyo maana tunasema Tume ya Uchaguzi siyo Huru hats kidogo. Inawezekana hizi kanuni zimeandaliwa na Polepole & co.
Mh rais alisema hata ongeza hata dk moja usitafute pakutokeaHaya ni maandalizi tu ya kujiongezea muda madarakani baada ya vipindi viwili kupita.hawa jamaa akili itawakaa vizuri June 2024.
Utafanya nini zaidi ya kukaakwenye keyboard na kushupaza shingoHawa NEC wakitaka taifa liwe salama wasithubutu kabisa kufanya kazi na yule mzee kijana wa Lumumba..atawaharibia credibility kabisa. . Maana 2020 watu wameapa kufia kwenye vituo cha kupigia kura...uhuni uhuni sasa basi.
Waoga sana wanajua jpm anafanya Kazi kubwa wanatafuta pa kutokeaMengine yote ya taarifa yake Ado Shaibu, Katibu Mkuu wa ACT Mzalendo ni ya porojo tu zao za kisiasa, kutafuta mahali pa kutokea ( kuweka mpira kwapani) kukwepa uchaguzi ambao wana uhakika wa kutoka kapa, isipokuwa hili analokiri na kuthibitisha uchanga wake kisiasa.
Ati Chama cha ACT Wazalendo ambacho mimi nilikiwakilisha kiligomea kusaini na kuomba haki ya kusaini baada ya kuona toleo la mwisho la Maadili ya Uchaguzi lenye maboresho yaliyotokana na maoni ya wadau. Jawabu la NEC kuwa Chama ambacho hakitasaini Maadili ya Uchaguzi siku hiyo hakitashiriki kampeni, lilitulazimisha kusaini sambamba na vyama vingine vilivyosaini siku hiyo.
Yaani anakiri kusaini kwa kulazimishwa kweli! Ado msomi anayejitambua! Katibu Mkuu wa aina hiyo ni FUKUZILIA MBALI.
Jpm alisema hata ongeza hata sekunde acheni kuleta hisiaJiwe anapanga kutumia staili ya Nkurunzinza type kwenye uchaguzi ujao ila , mabeberu watatumia Benghazi staili kumpa mambo.
Chama cha mapinduzi ni waoga, tuliwaambia toka mwanzo kama kweli mtu wao anakubalika mbona figisu nyingi? Yaani wanahangaika acha, sasa wameingia time, tume bila aibu inafanya mambo ya hovyo, hapa ndipo umuhimu wa tume huru ya uchaguzi. Shit!
2020 unaweza kuwa mwisho wa Jamhuri hii tukufu ya muungano.
Katafute zile billion 8.9 alizowatapeli mboweHizo kanuni ni za jiwe mwenyewe. Hao wengine wanaiga tu.
Ni aibu kutolea mfano kwa mambo yaliyofanyika kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Asilimia kibwa ya wagombea wa upande mwingine kuondolewa kwa hila!Sibili kipigo kama cha serkali za mtaa
Mambo,muhimu ni kuwe na haki kwa wote,maana tunajenga nyumba moja,lkn Mkuu amesisitiza hataki mambo ya vurugu na hata vyombo pia vimetaka iwe hivyo,je? hawa ni kina nani wanakataa kutii Sauti za Mamlaka?.Vyama vya upinzani Tanzania mnatuchosha hamna maamuzi mpo kuralamika lalamika tu
Haya mmeona kuna makosa solution ni IPI toeni solution huu si mda wa ngonjera
Katafute zile billion 8.9 alizowatapeli mbowe
Sawa mheshimiwa USSR, i wonder what happened to USSR the country? 🤔Alisema hivyo babu yako lakini mpaka kizazi chako nchi iko imara
Walipata wabunge wachache kadri ccm ilivyotaka lkn safari hii hawataki Chadema wapate hata mbunge mmoja...!!!Miaka yote mlishiriki na mkapata ubunge kwa kanuni hizi hizi
unataka maridhiano na mtu asiyeitaji maridhianoMambo,muhimu ni kuwe na haki kwa wote,maana tunajenga nyumba moja,lkn Mkuu amesisitiza hataki mambo ya vurugu na hata vyombo pia vimetaka iwe hivyo,je? hawa ni kina nani wanakataa kutii Sauti za Mamlaka?.
Naomba wajue hili na kuwanasihi hawa watu,anaye lalamika hakulizika ijapo vigumu kulidhisha wote lkn hili linaumuhimu wa wote kuridhika maaana ndio ukweli wenyewe.