Naunga mkono hoja,umeona mbali sana ,big up
Mwana fc umekwama tena. Umeshachelewa.Kwahiyo mnategemea kura za huruma
Hahhaa hawajui walifanyalo. Kuna mmoja leo ameenda kunajisi mimbari akidhani anawafurahisha kumbe nio kwanza kapeleka Kero nyingine.Naona MATAGA walivyotawanyika kila sehemu kuhakikisha wanamchafua Lissu halafu ndo kwanza wanajikuta wanazidi kumpigia kampeni.
Wacheni woga wa kitoto kama hafai wananchi wataamua,hisia zenu zinalenga kuwadharau wapiga kura kuwa hawana upeo wa kutambua zuri na baya.Haya ni maoni yangu binafsi ,sijatumwa na mtu au taasisi yoyote ile ,bali ni utashi wa nafsi yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa mteule huyu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema).
Kiongozi huyu kwa kauli zake alizozitoa wakati akitafuta wadhamini ni za shari sana na amekusudia kulibomoa taifa aidha kwa yeye kutojua ,au anajua kwa makusudi kabisa ,sitarudia kauli zake kwani ziko wazi mitandaoni na zinapoonekana kuwakera watanzania na kumshutumu ,hujaribu kuzi-neutralize akijifanya hakumaanisha kile ambacho ni kusudi lake kabisa toka moyoni bila shaka yoyote ile.
Lissu hayuko peke yake ,kuna kundi la baadhi ya maadui wa mafanikio ya taifa hili,ambao ndio wanamtumia kufanikisha mission zao kwa kigezo cha demokrasia kama ambavyo wameyabomoa mataifa mengi barani afrika ili yawe tegemezi daima na milele.mfano Libya ,Irak,Zimbabwe
Naiomba tume isipitishe jina lake kugombea nafasi ya urais kwa sababu ndio kihunzi ambacho maadui zetu wanaomba mchana na usiku wakivuke, wakifanikiwa watanzania muamini tunaenda kugawanyika na kusambaratika,huyu kiumbe kapangwa hata kama akishindwa kihalali akatae matokeo, na nchi ikisha ingia taharuki ndipo maadui watapata mwanya wa kufanya maovu yao dhidi ya mafanikio yetu.ifahamike taharuki hiyo itarudisha nyuma taifa kulekea kujitegema .
Lazima watanzania mfahamu kitendo cha kupunguza utegemezi ikiwemo gharama za uchaguzi ambazo zimekuwa zikigharamikiwa na mataifa ya nje kwa muda mrefu kwenye chaguzi karibu zote kimewakwaza sana ,hiyo ndio pia njia wanayoitumia kuhalalisha watawala wanaowataka kwa maslahi yao binafsi.
Nionavyo ni kheri ya nusu shari kuliko shari kamili,
Nusu shari ni tume kukata jina lake,na shari kamili ni kuruhusu jina la Lissu kugombea urais.
Hivi sasa mitandaoni kuna vijana wameajiliwa kuitisha tume ya uchaguzi kwa threads za kila aina, mimi nasema wapuuzwe hiyo ni mission maalumu kutuingiza mkenge wakidai jina lake lisikatwe kwa kigezo cha kwamba hapatatosha
mimi nasema patatosha jina lake likatwe tu,kuruhusuu jina lake kugombea ndio hapatatosha kabisa kwa dhamira aliyonayo na wale maadui zetu,na hili litakua ni kosa la kiufundi ambalo tutajilaumu wenyewe.
Mwisho,umoja wetu ndio ushindi wetu dhidi ya maadui wa maendeleo ya taifa letu,kipindi hiki tushikamane haswa .
Haujatumwa na mtu ni maoni yako binafsi baada ya kuvuta Bangi, acha ufala wewe yaani umempiga risasi ukamnyima matibabu ukampora ubunge kaja kuwambia watanzania ukweli unadai anahatarisha Amani? Amani ipi anahatarisha? Mwisho umoja wako na wavuta Bangi wenzako ndiyo ushindi wako kwa maendeleo yapi? Kwani maendeleo ni pesa binafsi toka mfukoni mwa CCM? Maendeleo ni Hisani za CCM? Maendeleo ni pesa za walipa kodi ambao ni watanzania wote wengi wakiwa ni wapinzani na pia wale wasio na vyama. Amani ya Tanzania unavunjwa na CCM kwa vitendo vyake haramu na kishetani kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani unyanyasaji uonevu na sasa wamewapa pesa bichwa kubwa jinga Shibuda na Profeselii mjinga mjinga Lipumba wakaweke pingamizi NEC wakizani watanzania ni wajinga hawajui kuwa CCM ndiyo chanzo cha vitendo vya hovyo hovyo Nchini.Haya ni maoni yangu binafsi ,sijatumwa na mtu au taasisi yoyote ile ,bali ni utashi wa nafsi yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa mteule huyu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema).
Kiongozi huyu kwa kauli zake alizozitoa wakati akitafuta wadhamini ni za shari sana na amekusudia kulibomoa taifa aidha kwa yeye kutojua ,au anajua kwa makusudi kabisa ,sitarudia kauli zake kwani ziko wazi mitandaoni na zinapoonekana kuwakera watanzania na kumshutumu ,hujaribu kuzi-neutralize akijifanya hakumaanisha kile ambacho ni kusudi lake kabisa toka moyoni bila shaka yoyote ile.
Lissu hayuko peke yake ,kuna kundi la baadhi ya maadui wa mafanikio ya taifa hili,ambao ndio wanamtumia kufanikisha mission zao kwa kigezo cha demokrasia kama ambavyo wameyabomoa mataifa mengi barani afrika ili yawe tegemezi daima na milele.mfano Libya ,Irak,Zimbabwe
Naiomba tume isipitishe jina lake kugombea nafasi ya urais kwa sababu ndio kihunzi ambacho maadui zetu wanaomba mchana na usiku wakivuke, wakifanikiwa watanzania muamini tunaenda kugawanyika na kusambaratika,huyu kiumbe kapangwa hata kama akishindwa kihalali akatae matokeo, na nchi ikisha ingia taharuki ndipo maadui watapata mwanya wa kufanya maovu yao dhidi ya mafanikio yetu.ifahamike taharuki hiyo itarudisha nyuma taifa kulekea kujitegema .
Lazima watanzania mfahamu kitendo cha kupunguza utegemezi ikiwemo gharama za uchaguzi ambazo zimekuwa zikigharamikiwa na mataifa ya nje kwa muda mrefu kwenye chaguzi karibu zote kimewakwaza sana ,hiyo ndio pia njia wanayoitumia kuhalalisha watawala wanaowataka kwa maslahi yao binafsi.
Nionavyo ni kheri ya nusu shari kuliko shari kamili,
Nusu shari ni tume kukata jina lake,na shari kamili ni kuruhusu jina la Lissu kugombea urais.
Hivi sasa mitandaoni kuna vijana wameajiliwa kuitisha tume ya uchaguzi kwa threads za kila aina, mimi nasema wapuuzwe hiyo ni mission maalumu kutuingiza mkenge wakidai jina lake lisikatwe kwa kigezo cha kwamba hapatatosha
mimi nasema patatosha jina lake likatwe tu,kuruhusuu jina lake kugombea ndio hapatatosha kabisa kwa dhamira aliyonayo na wale maadui zetu,na hili litakua ni kosa la kiufundi ambalo tutajilaumu wenyewe.
Mwisho,umoja wetu ndio ushindi wetu dhidi ya maadui wa maendeleo ya taifa letu,kipindi hiki tushikamane haswa .
Kwa hiyo Tundu Lissu anatumiwa na Maria Sarungi na Fatuma Karume ndio azuiwe kugombea Uraisi?Lissu hayuko peke yake ,kuna kundi la baadhi ya maadui wa mafanikio ya taifa hili
Watetezi wa CCM mitandaoni wengi wapo gheto kwa cyprian Musiba wakivuta Bangi wakitoka huko hukimbilia kuanzisha mada pasipo kutafakari, tuendelee kuwashona kwa sindano kali mpaka CCM watambue kuwa ujinga wao umebainika vizuriWeka hapa hizo shari nasi tuzipime; au shari zenyewe nizile za nitafuta vitambulisho vya machinga, nitaifumua habari maelezo, nitawalipa watumishi stahiki zao, nitawaongeza mishahara watunishi, nitatoa ajira nk.
CCM wanajinadi wameleta maendeleo lakini cha ajabu wapo busy kuihujumu chadema ACT usiku na mchanaWacheni woga wa kitoto kama hafai wananchi wataamua,hisia zenu zinalenga kuwadharau wapiga kura kuwa hawana upeo wa kutambua zuri na baya.
HUYU KIMA LISSU HAKIKA AMETUMWA NA MABEBERU KUIVURUGA NCHI YETU. ITOSHE TU KUSEMA KAMA TUME ITAKATA JINA LAKE NI VEMA ILA HATA AKIPITISHWA NI BORA ZAIDI MAANA KUSHINDA HASHINDI NA WATANZANIA HAWATOKUBALI UJINGA WAKE WA KULIINGIZA TAIFA PABAYA. TUNAMSTAAFISHA SIASA HUYU RASMI AKAENDELEE KUFANYA MICHEZO YAKE HUKO UBELIGIJIHaya ni maoni yangu binafsi ,sijatumwa na mtu au taasisi yoyote ile ,bali ni utashi wa nafsi yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa mteule huyu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema).
Kiongozi huyu kwa kauli zake alizozitoa wakati akitafuta wadhamini ni za shari sana na amekusudia kulibomoa taifa aidha kwa yeye kutojua ,au anajua kwa makusudi kabisa ,sitarudia kauli zake kwani ziko wazi mitandaoni na zinapoonekana kuwakera watanzania na kumshutumu ,hujaribu kuzi-neutralize akijifanya hakumaanisha kile ambacho ni kusudi lake kabisa toka moyoni bila shaka yoyote ile.
Lissu hayuko peke yake ,kuna kundi la baadhi ya maadui wa mafanikio ya taifa hili,ambao ndio wanamtumia kufanikisha mission zao kwa kigezo cha demokrasia kama ambavyo wameyabomoa mataifa mengi barani afrika ili yawe tegemezi daima na milele.mfano Libya ,Irak,Zimbabwe
Naiomba tume isipitishe jina lake kugombea nafasi ya urais kwa sababu ndio kihunzi ambacho maadui zetu wanaomba mchana na usiku wakivuke, wakifanikiwa watanzania muamini tunaenda kugawanyika na kusambaratika,huyu kiumbe kapangwa hata kama akishindwa kihalali akatae matokeo, na nchi ikisha ingia taharuki ndipo maadui watapata mwanya wa kufanya maovu yao dhidi ya mafanikio yetu.ifahamike taharuki hiyo itarudisha nyuma taifa kulekea kujitegema .
Lazima watanzania mfahamu kitendo cha kupunguza utegemezi ikiwemo gharama za uchaguzi ambazo zimekuwa zikigharamikiwa na mataifa ya nje kwa muda mrefu kwenye chaguzi karibu zote kimewakwaza sana ,hiyo ndio pia njia wanayoitumia kuhalalisha watawala wanaowataka kwa maslahi yao binafsi.
Nionavyo ni kheri ya nusu shari kuliko shari kamili,
Nusu shari ni tume kukata jina lake,na shari kamili ni kuruhusu jina la Lissu kugombea urais.
Hivi sasa mitandaoni kuna vijana wameajiliwa kuitisha tume ya uchaguzi kwa threads za kila aina, mimi nasema wapuuzwe hiyo ni mission maalumu kutuingiza mkenge wakidai jina lake lisikatwe kwa kigezo cha kwamba hapatatosha
mimi nasema patatosha jina lake likatwe tu,kuruhusuu jina lake kugombea ndio hapatatosha kabisa kwa dhamira aliyonayo na wale maadui zetu,na hili litakua ni kosa la kiufundi ambalo tutajilaumu wenyewe.
Mwisho,umoja wetu ndio ushindi wetu dhidi ya maadui wa maendeleo ya taifa letu,kipindi hiki tushikamane haswa .
HUYU KIMA LISSU HAKIKA AMETUMWA NA MABEBERU KUIVURUGA NCHI YETU. ITOSHE TU KUSEMA KAMA TUME ITAKATA JINA LAKE NI VEMA ILA HATA AKIPITISHWA NI BORA ZAIDI MAANA KUSHINDA HASHINDI NA WATANZANIA HAWATOKUBALI UJINGA WAKE WA KULIINGIZA TAIFA PABAYA. TUNAMSTAAFISHA SIASA HUYU RASMI AKAENDELEE KUFANYA MICHEZO YAKE HUKO UBELIGIJI
Pamoja kiongoziHUYU KIMA LISSU HAKIKA AMETUMWA NA MABEBERU KUIVURUGA NCHI YETU. ITOSHE TU KUSEMA KAMA TUME ITAKATA JINA LAKE NI VEMA ILA HATA AKIPITISHWA NI BORA ZAIDI MAANA KUSHINDA HASHINDI NA WATANZANIA HAWATOKUBALI UJINGA WAKE WA KULIINGIZA TAIFA PABAYA. TUNAMSTAAFISHA SIASA HUYU RASMI AKAENDELEE KUFANYA MICHEZO YAKE HUKO UBELIGIJI
Wewe endelea kuvuta Bangi huku ukijona ni mjanja kumbe unazidi kuichafua CCM inaonekana ni chama cha hovyo sana, mnajinadi mmeleta maendeleo lakini cha ajabu mpo busy kuihujumu kuidhoofisha chademaAngalia chadema YouTube
We baboon endelea kujipa moyoWatetezi wa CCM mitandaoni wengi wapo gheto kwa cyprian Musiba wakivuta Bangi wakitoka huko hukimbilia kuanzisha mada pasipo kutafakari, tuendelee kuwashona kwa sindano kali mpaka CCM watambue kuwa ujinga wao umebainika vizuri
Sudan Tunisia Egypt Zimbabwe walikuwa na Tabia za hovyo kama za CCM leo hii wapo wapi?Na yule mgombea aliyemmiminia Lissu risasi ndo haweki rehani amani ya Taifa?
Pia Soma historia ya dunia, Wagombea aina ya Lissu wanaponyimwa haki zao za kikatiba nini hutokea...acheni Ujinga
Vumilia nagutule shingeHaujatumwa na mtu ni maoni yako binafsi baada ya kuvuta Bangi, acha ufala wewe yaani umempiga risasi ukamnyima matibabu ukampora ubunge kaja kuwambia watanzania ukweli unadai anahatarisha Amani? Amani ipi anahatarisha? Mwisho umoja wako na wavuta Bangi wenzako ndiyo ushindi wako kwa maendeleo yapi? Kwani maendeleo ni pesa binafsi toka mfukoni mwa CCM? Maendeleo ni Hisani za CCM? Maendeleo ni pesa za walipa kodi ambao ni watanzania wote wengi wakiwa ni wapinzani na pia wale wasio na vyama. Amani ya Tanzania unavunjwa na CCM kwa vitendo vyake haramu na kishetani kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani unyanyasaji uonevu na sasa wamewapa pesa bichwa kubwa jinga Shibuda na Profeselii mjinga mjinga Lipumba wakaweke pingamizi NEC wakizani watanzania ni wajinga hawajui kuwa CCM ndiyo chanzo cha vitendo vya hovyo hovyo Nchini.
Huu ujinga ndio mnalishwa kisha mkitumika mnatelekezwa ,majuto mjukuuSudan Tunisia Egypt Zimbabwe walikuwa na Tabia za hovyo kama za CCM leo hii wapo wapi?