Uchaguzi 2020 Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC), nawasihi, kupitisha jina la Lissu kugombea Urais, ni kuweka rehani Amani na Usalama wa Taifa

sasa kama process ya kutafuta wadhamini tu kashavunja sheria akienda ikulu si ndo itakua balaa, mm nadhan akatwe tu! kwanza haendi kushinda cha pili sio mfuata utaratibu
 
Naona MATAGA walivyotawanyika kila sehemu kuhakikisha wanamchafua Lissu halafu ndo kwanza wanajikuta wanazidi kumpigia kampeni.
Hahhaa hawajui walifanyalo. Kuna mmoja leo ameenda kunajisi mimbari akidhani anawafurahisha kumbe nio kwanza kapeleka Kero nyingine.

Amewakera wakristo na akawakera waislma kwa wakati mmoja

Hii inaitwa kutapatapa.
 
Haya ni maoni yangu binafsi ,sijatumwa na mtu au taasisi yoyote ile ,bali ni utashi wa nafsi yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa mteule huyu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema).

Kiongozi huyu kwa kauli zake alizozitoa wakati akitafuta wadhamini ni za shari sana na amekusudia kulibomoa taifa aidha kwa yeye kutojua ,au anajua kwa makusudi kabisa ,sitarudia kauli zake kwani ziko wazi mitandaoni na zinapoonekana kuwakera watanzania na kumshutumu ,hujaribu kuzi-neutralize akijifanya hakumaanisha kile ambacho ni kusudi lake kabisa toka moyoni bila shaka yoyote ile.

Lissu hayuko peke yake ,kuna kundi la baadhi ya maadui wa mafanikio ya taifa hili,ambao ndio wanamtumia kufanikisha mission zao kwa kigezo cha demokrasia kama ambavyo wameyabomoa mataifa mengi barani afrika ili yawe tegemezi daima na milele.mfano Libya ,Irak,Zimbabwe

Naiomba tume isipitishe jina lake kugombea nafasi ya urais kwa sababu ndio kihunzi ambacho maadui zetu wanaomba mchana na usiku wakivuke, wakifanikiwa watanzania muamini tunaenda kugawanyika na kusambaratika,huyu kiumbe kapangwa hata kama akishindwa kihalali akatae matokeo, na nchi ikisha ingia taharuki ndipo maadui watapata mwanya wa kufanya maovu yao dhidi ya mafanikio yetu.ifahamike taharuki hiyo itarudisha nyuma taifa kulekea kujitegema .

Lazima watanzania mfahamu kitendo cha kupunguza utegemezi ikiwemo gharama za uchaguzi ambazo zimekuwa zikigharamikiwa na mataifa ya nje kwa muda mrefu kwenye chaguzi karibu zote kimewakwaza sana ,hiyo ndio pia njia wanayoitumia kuhalalisha watawala wanaowataka kwa maslahi yao binafsi.

Nionavyo ni kheri ya nusu shari kuliko shari kamili,
Nusu shari ni tume kukata jina lake,na shari kamili ni kuruhusu jina la Lissu kugombea urais.

Hivi sasa mitandaoni kuna vijana wameajiliwa kuitisha tume ya uchaguzi kwa threads za kila aina, mimi nasema wapuuzwe hiyo ni mission maalumu kutuingiza mkenge wakidai jina lake lisikatwe kwa kigezo cha kwamba hapatatosha

mimi nasema patatosha jina lake likatwe tu,kuruhusuu jina lake kugombea ndio hapatatosha kabisa kwa dhamira aliyonayo na wale maadui zetu,na hili litakua ni kosa la kiufundi ambalo tutajilaumu wenyewe.

Mwisho,umoja wetu ndio ushindi wetu dhidi ya maadui wa maendeleo ya taifa letu,kipindi hiki tushikamane haswa .
Wacheni woga wa kitoto kama hafai wananchi wataamua,hisia zenu zinalenga kuwadharau wapiga kura kuwa hawana upeo wa kutambua zuri na baya.
 
Haujatumwa na mtu ni maoni yako binafsi baada ya kuvuta Bangi, acha ufala wewe yaani umempiga risasi ukamnyima matibabu ukampora ubunge kaja kuwambia watanzania ukweli unadai anahatarisha Amani? Amani ipi anahatarisha? Mwisho umoja wako na wavuta Bangi wenzako ndiyo ushindi wako kwa maendeleo yapi? Kwani maendeleo ni pesa binafsi toka mfukoni mwa CCM? Maendeleo ni Hisani za CCM? Maendeleo ni pesa za walipa kodi ambao ni watanzania wote wengi wakiwa ni wapinzani na pia wale wasio na vyama. Amani ya Tanzania unavunjwa na CCM kwa vitendo vyake haramu na kishetani kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani unyanyasaji uonevu na sasa wamewapa pesa bichwa kubwa jinga Shibuda na Profeselii mjinga mjinga Lipumba wakaweke pingamizi NEC wakizani watanzania ni wajinga hawajui kuwa CCM ndiyo chanzo cha vitendo vya hovyo hovyo Nchini.
 
Weka hapa hizo shari nasi tuzipime; au shari zenyewe nizile za nitafuta vitambulisho vya machinga, nitaifumua habari maelezo, nitawalipa watumishi stahiki zao, nitawaongeza mishahara watunishi, nitatoa ajira nk.
Watetezi wa CCM mitandaoni wengi wapo gheto kwa cyprian Musiba wakivuta Bangi wakitoka huko hukimbilia kuanzisha mada pasipo kutafakari, tuendelee kuwashona kwa sindano kali mpaka CCM watambue kuwa ujinga wao umebainika vizuri
 
HUYU KIMA LISSU HAKIKA AMETUMWA NA MABEBERU KUIVURUGA NCHI YETU. ITOSHE TU KUSEMA KAMA TUME ITAKATA JINA LAKE NI VEMA ILA HATA AKIPITISHWA NI BORA ZAIDI MAANA KUSHINDA HASHINDI NA WATANZANIA HAWATOKUBALI UJINGA WAKE WA KULIINGIZA TAIFA PABAYA. TUNAMSTAAFISHA SIASA HUYU RASMI AKAENDELEE KUFANYA MICHEZO YAKE HUKO UBELIGIJI
 
Pamoja kiongozi
 
Angalia chadema YouTube
Wewe endelea kuvuta Bangi huku ukijona ni mjanja kumbe unazidi kuichafua CCM inaonekana ni chama cha hovyo sana, mnajinadi mmeleta maendeleo lakini cha ajabu mpo busy kuihujumu kuidhoofisha chadema
 
Watetezi wa CCM mitandaoni wengi wapo gheto kwa cyprian Musiba wakivuta Bangi wakitoka huko hukimbilia kuanzisha mada pasipo kutafakari, tuendelee kuwashona kwa sindano kali mpaka CCM watambue kuwa ujinga wao umebainika vizuri
We baboon endelea kujipa moyo
 
Na yule mgombea aliyemmiminia Lissu risasi ndo haweki rehani amani ya Taifa?

Pia Soma historia ya dunia, Wagombea aina ya Lissu wanaponyimwa haki zao za kikatiba nini hutokea...acheni Ujinga
Sudan Tunisia Egypt Zimbabwe walikuwa na Tabia za hovyo kama za CCM leo hii wapo wapi?
 
Haujatumwa na mtu ni maoni yako binafsi baada ya kuvuta Bangi, acha ufala wewe yaani umempiga risasi ukamnyima matibabu ukampora ubunge kaja kuwambia watanzania ukweli unadai anahatarisha Amani? Amani ipi anahatarisha? Mwisho umoja wako na wavuta Bangi wenzako ndiyo ushindi wako kwa maendeleo yapi? Kwani maendeleo ni pesa binafsi toka mfukoni mwa CCM? Maendeleo ni Hisani za CCM? Maendeleo ni pesa za walipa kodi ambao ni watanzania wote wengi wakiwa ni wapinzani na pia wale wasio na vyama. Amani ya Tanzania unavunjwa na CCM kwa vitendo vyake haramu na kishetani kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani unyanyasaji uonevu na sasa wamewapa pesa bichwa kubwa jinga Shibuda na Profeselii mjinga mjinga Lipumba wakaweke pingamizi NEC wakizani watanzania ni wajinga hawajui kuwa CCM ndiyo chanzo cha vitendo vya hovyo hovyo Nchini.
Vumilia nagutule shinge
 
Maovu yanayoendelea leo hii huyaoni?

Unazungumzia umoja katika ya chuki za kisiasa mlizopandikiza?

Unazungumzia umoja katikati ya ubaguzi kwa misingi ya kisiasa uliopo leo hii?

Mkateni muone moto wake.
 
lissu ananikumbusha Scofied kwenye prison break..kwamba we are not running. kamwe njia ya kumshida adui sio kumkimbia
 
Back
Top Bottom