New york City
Senior Member
- Jul 24, 2020
- 175
- 567
Utopolo fc mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga unao wewe na waliokutuma baada ya kuvuta Bangi ukashindwa kuchanganya Akili zako, hivi kuna upumbavu zaidi ya huo wa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?Huu ujinga ndio mnalishwa kisha mkitumika mnatelekezwa ,majuto mjukuu
Do not exaggerate. Hakuna matamshi mabaya aliyotoa. Ila anaitahadharisha tume ya uchaguzi na vyombo vya dola kutoharibu uchaguzi. Anataka uchaguzi uwe wa huru na haki. Swala la kumhusisa JPM na kupigwa kwake risasi ni la kisheria na vyombo husika vinatakiwa kufanya kazi zake. Sisi wananchi na wapiga kura halituhusu.Haya ni maoni yangu binafsi ,sijatumwa na mtu au taasisi yoyote ile ,bali ni utashi wa nafsi yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa mteule huyu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema).
Kiongozi huyu kwa kauli zake alizozitoa wakati akitafuta wadhamini ni za shari sana na amekusudia kulibomoa taifa aidha kwa yeye kutojua ,au anajua kwa makusudi kabisa ,sitarudia kauli zake kwani ziko wazi mitandaoni na zinapoonekana kuwakera watanzania na kumshutumu ,hujaribu kuzi-neutralize akijifanya hakumaanisha kile ambacho ni kusudi lake kabisa toka moyoni bila shaka yoyote ile.
Lissu hayuko peke yake ,kuna kundi la baadhi ya maadui wa mafanikio ya taifa hili,ambao ndio wanamtumia kufanikisha mission zao kwa kigezo cha demokrasia kama ambavyo wameyabomoa mataifa mengi barani afrika ili yawe tegemezi daima na milele.mfano Libya ,Irak,Zimbabwe
Naiomba tume isipitishe jina lake kugombea nafasi ya urais kwa sababu ndio kihunzi ambacho maadui zetu wanaomba mchana na usiku wakivuke, wakifanikiwa watanzania muamini tunaenda kugawanyika na kusambaratika,huyu kiumbe kapangwa hata kama akishindwa kihalali akatae matokeo, na nchi ikisha ingia taharuki ndipo maadui watapata mwanya wa kufanya maovu yao dhidi ya mafanikio yetu.ifahamike taharuki hiyo itarudisha nyuma taifa kulekea kujitegema .
Lazima watanzania mfahamu kitendo cha kupunguza utegemezi ikiwemo gharama za uchaguzi ambazo zimekuwa zikigharamikiwa na mataifa ya nje kwa muda mrefu kwenye chaguzi karibu zote kimewakwaza sana ,hiyo ndio pia njia wanayoitumia kuhalalisha watawala wanaowataka kwa maslahi yao binafsi.
Nionavyo ni kheri ya nusu shari kuliko shari kamili,
Nusu shari ni tume kukata jina lake,na shari kamili ni kuruhusu jina la Lissu kugombea urais.
Hivi sasa mitandaoni kuna vijana wameajiliwa kuitisha tume ya uchaguzi kwa threads za kila aina, mimi nasema wapuuzwe hiyo ni mission maalumu kutuingiza mkenge wakidai jina lake lisikatwe kwa kigezo cha kwamba hapatatosha
mimi nasema patatosha jina lake likatwe tu,kuruhusuu jina lake kugombea ndio hapatatosha kabisa kwa dhamira aliyonayo na wale maadui zetu,na hili litakua ni kosa la kiufundi ambalo tutajilaumu wenyewe.
Mwisho,umoja wetu ndio ushindi wetu dhidi ya maadui wa maendeleo ya taifa letu,kipindi hiki tushikamane haswa .
Amani itavunjwa na CCM kwa matendo yake ya hovyo hovyo kuwaonea kuwahujumu kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi wapinzaniHuu ujinga ndio mnalishwa kisha mkitumika mnatelekezwa ,majuto mjukuu
Mimi na yule mwenyekiti wako wa maisha alievunjika mguu kwa ulevi yupi smart?NEC haiwezi kusikiliza maoni ya mtu mlevi asiye na akili.
Wewe kupanga njama za kichawi roho mbaya kwa Tundu lisu vitakusaidia nini?Vitakusaidia nini?
Magu amevurugwa hadi anachukua sadaka za Kanisani zikatumike kujengea msikiti.Wewe kupanga njama za kichawi roho mbaya kwa Tundu lisu vitakusaidia nini?
Leta data na source nasi tuone.Nasikia bank ya dunia wameiondoa Tanzania ktk uchumi wa kati hajatimiza baadhi ya vigezo
Wewe ni Lijuakali aliyevaa max usiku akampiga mbowe akatokomea nyumba ya jirani usifikiri watu hawajui ni nani alimpiga mbowe, uovu wa CCM wote upo wazi hakuna baya la CCM lisilojulikanaMimi na yule mwenyekiti wako wa maisha alievunjika mguu kwa ulevi yupi smart?
Ha ha ha CCM wanatapatapa mpaka wamewatuma wavuta Bangi mitandaoni kuja kusumbua watuMagu amevurugwa hadi anachukua sadaka za Kanisani zikatumike kujengea msikiti.
Hivi mbona makada wa CCM mmeingiwa na hofu kuhusiana na Tundu Lissu kutia nia ktk kinyang'anyiro cha nafasi ya uraisi? Hivi ilikuwa ni njama kwa kuvipiga marufuku visitangaze matukio yake ya kusaka wadhamini, ili kitafutwe kisingizio kuwa alitukana matusi ama kufanya uchochezi!Haya ni maoni yangu binafsi ,sijatumwa na mtu au taasisi yoyote ile ,bali ni utashi wa nafsi yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa mteule huyu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema).
Kiongozi huyu kwa kauli zake alizozitoa wakati akitafuta wadhamini ni za shari sana na amekusudia kulibomoa taifa aidha kwa yeye kutojua ,au anajua kwa makusudi kabisa ,sitarudia kauli zake kwani ziko wazi mitandaoni na zinapoonekana kuwakera watanzania na kumshutumu ,hujaribu kuzi-neutralize akijifanya hakumaanisha kile ambacho ni kusudi lake kabisa toka moyoni bila shaka yoyote ile.
Lissu hayuko peke yake ,kuna kundi la baadhi ya maadui wa mafanikio ya taifa hili,ambao ndio wanamtumia kufanikisha mission zao kwa kigezo cha demokrasia kama ambavyo wameyabomoa mataifa mengi barani afrika ili yawe tegemezi daima na milele.mfano Libya ,Irak,Zimbabwe
Naiomba tume isipitishe jina lake kugombea nafasi ya urais kwa sababu ndio kihunzi ambacho maadui zetu wanaomba mchana na usiku wakivuke, wakifanikiwa watanzania muamini tunaenda kugawanyika na kusambaratika,huyu kiumbe kapangwa hata kama akishindwa kihalali akatae matokeo, na nchi ikisha ingia taharuki ndipo maadui watapata mwanya wa kufanya maovu yao dhidi ya mafanikio yetu.ifahamike taharuki hiyo itarudisha nyuma taifa kulekea kujitegema .
Lazima watanzania mfahamu kitendo cha kupunguza utegemezi ikiwemo gharama za uchaguzi ambazo zimekuwa zikigharamikiwa na mataifa ya nje kwa muda mrefu kwenye chaguzi karibu zote kimewakwaza sana ,hiyo ndio pia njia wanayoitumia kuhalalisha watawala wanaowataka kwa maslahi yao binafsi.
Nionavyo ni kheri ya nusu shari kuliko shari kamili,
Nusu shari ni tume kukata jina lake,na shari kamili ni kuruhusu jina la Lissu kugombea urais.
Hivi sasa mitandaoni kuna vijana wameajiliwa kuitisha tume ya uchaguzi kwa threads za kila aina, mimi nasema wapuuzwe hiyo ni mission maalumu kutuingiza mkenge wakidai jina lake lisikatwe kwa kigezo cha kwamba hapatatosha
mimi nasema patatosha jina lake likatwe tu,kuruhusuu jina lake kugombea ndio hapatatosha kabisa kwa dhamira aliyonayo na wale maadui zetu,na hili litakua ni kosa la kiufundi ambalo tutajilaumu wenyewe.
Mwisho,umoja wetu ndio ushindi wetu dhidi ya maadui wa maendeleo ya taifa letu,kipindi hiki tushikamane haswa .
Wavuta Bangi wote Safari hii tutawabana mawazo yenu ya kijinga jinga tutayakomeshaInaonekana.unaihusudu sana bange
UOGA HAUWEZI KULETA MAENDELEO EWE KIRUS CHA FARAOHaya ni maoni yangu binafsi ,sijatumwa na mtu au taasisi yoyote ile ,bali ni utashi wa nafsi yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa mteule huyu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema).
Kiongozi huyu kwa kauli zake alizozitoa wakati akitafuta wadhamini ni za shari sana na amekusudia kulibomoa taifa aidha kwa yeye kutojua ,au anajua kwa makusudi kabisa ,sitarudia kauli zake kwani ziko wazi mitandaoni na zinapoonekana kuwakera watanzania na kumshutumu ,hujaribu kuzi-neutralize akijifanya hakumaanisha kile ambacho ni kusudi lake kabisa toka moyoni bila shaka yoyote ile.
Lissu hayuko peke yake ,kuna kundi la baadhi ya maadui wa mafanikio ya taifa hili,ambao ndio wanamtumia kufanikisha mission zao kwa kigezo cha demokrasia kama ambavyo wameyabomoa mataifa mengi barani afrika ili yawe tegemezi daima na milele.mfano Libya ,Irak,Zimbabwe
Naiomba tume isipitishe jina lake kugombea nafasi ya urais kwa sababu ndio kihunzi ambacho maadui zetu wanaomba mchana na usiku wakivuke, wakifanikiwa watanzania muamini tunaenda kugawanyika na kusambaratika,huyu kiumbe kapangwa hata kama akishindwa kihalali akatae matokeo, na nchi ikisha ingia taharuki ndipo maadui watapata mwanya wa kufanya maovu yao dhidi ya mafanikio yetu.ifahamike taharuki hiyo itarudisha nyuma taifa kulekea kujitegema .
Lazima watanzania mfahamu kitendo cha kupunguza utegemezi ikiwemo gharama za uchaguzi ambazo zimekuwa zikigharamikiwa na mataifa ya nje kwa muda mrefu kwenye chaguzi karibu zote kimewakwaza sana ,hiyo ndio pia njia wanayoitumia kuhalalisha watawala wanaowataka kwa maslahi yao binafsi.
Nionavyo ni kheri ya nusu shari kuliko shari kamili,
Nusu shari ni tume kukata jina lake,na shari kamili ni kuruhusu jina la Lissu kugombea urais.
Hivi sasa mitandaoni kuna vijana wameajiliwa kuitisha tume ya uchaguzi kwa threads za kila aina, mimi nasema wapuuzwe hiyo ni mission maalumu kutuingiza mkenge wakidai jina lake lisikatwe kwa kigezo cha kwamba hapatatosha
mimi nasema patatosha jina lake likatwe tu,kuruhusuu jina lake kugombea ndio hapatatosha kabisa kwa dhamira aliyonayo na wale maadui zetu,na hili litakua ni kosa la kiufundi ambalo tutajilaumu wenyewe.
Mwisho,umoja wetu ndio ushindi wetu dhidi ya maadui wa maendeleo ya taifa letu,kipindi hiki tushikamane haswa .
Ofisi mlichoma wenyewe na imekua jadi kwenuHivi mbona makada wa CCM mmeingiwa na hofu kuhusiana na Tundu Lissu kutia nia ktk kinyang'anyiro cha nafasi ya uraisi? Hivi ilikuwa ni njama kwa kuvipiga marufuku visitangaze matukio yake ya kusaka wadhamini, ili kitafutwe kisingizio kuwa alitukana matusi ama kufanya uchochezi!
Hivi yale matukio ya kuchoma ofisi za CDM kule Arusha na Mbeya yalikuwa na nia ya kuwachochea wananchi wapandwe na jazba na kufanya fujo ili zitafutwe sababu za kumuengua siyo? Ile njama ya kuupopoa msafara wake kule Hai ilikuwa ni mtego mwingine siyo?
Ikiwa kama miradi mikubwa ya kimkakati inakibeba chama tawala hofu ni ya nini sasa? Ikiwa kama ujenzi wa SGR, bwawa la umeme la Mwl. Nyerere, barabara, hospitali na madaraja, na pia ikiwa kama serikali inatoa elimu ya msingi bure na kuboresha huduma za afya ikiwemo kulisambalatisha gonjwa hatari la COVID-19 hapa nchini kwa muda mfupi, hofu ya nini sasa?
Hukumu na hakimu ni wananchi. Mbona makada wa CCM wanaogopa kushtakiwa mbele ya wapigakura? Mbona wanaziogopa hoja za mashtaka zinazotolewa na Lissu kiasi kwamba wanaziita ni matusi na uchochezi? Orodhesheni nanyi mashtaka yenu kwa lugha rahisi ili kila mtu akapate kuelewa.
Mkurugenzi wa NEC anachunguzwa na taasisi za haku za binadamu Duniani mahakama ya uhalifu The Hague, FBI, Scotland yard na vyombo vingine vya kimataifa kuanzia Nchi jirani na kwingineko kote Duniani akijichanganya akafanya ujinga atambue kuwa Duniani kote watajua ushetani wake.NEC haiwezi kusikiliza maoni ya mtu mlevi asiye na akili.
Hizo ndizo Bangi za kwa cyprian Musiba, hivi ni kwa nini watetezi wa CCM mitandaoni mnapenda kukariri ujinga unaofanana?Ofisi mlichoma wenyewe na imekua jadi kwenu
Haya ni maoni yangu binafsi ,sijatumwa na mtu au taasisi yoyote ile ,bali ni utashi wa nafsi yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa mteule huyu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema).
Kiongozi huyu kwa kauli zake alizozitoa wakati akitafuta wadhamini ni za shari sana na amekusudia kulibomoa taifa aidha kwa yeye kutojua ,au anajua kwa makusudi kabisa ,sitarudia kauli zake kwani ziko wazi mitandaoni na zinapoonekana kuwakera watanzania na kumshutumu ,hujaribu kuzi-neutralize akijifanya hakumaanisha kile ambacho ni kusudi lake kabisa toka moyoni bila shaka yoyote ile.
Lissu hayuko peke yake ,kuna kundi la baadhi ya maadui wa mafanikio ya taifa hili,ambao ndio wanamtumia kufanikisha mission zao kwa kigezo cha demokrasia kama ambavyo wameyabomoa mataifa mengi barani afrika ili yawe tegemezi daima na milele.mfano Libya ,Irak,Zimbabwe
Naiomba tume isipitishe jina lake kugombea nafasi ya urais kwa sababu ndio kihunzi ambacho maadui zetu wanaomba mchana na usiku wakivuke, wakifanikiwa watanzania muamini tunaenda kugawanyika na kusambaratika,huyu kiumbe kapangwa hata kama akishindwa kihalali akatae matokeo, na nchi ikisha ingia taharuki ndipo maadui watapata mwanya wa kufanya maovu yao dhidi ya mafanikio yetu.ifahamike taharuki hiyo itarudisha nyuma taifa kulekea kujitegema .
Lazima watanzania mfahamu kitendo cha kupunguza utegemezi ikiwemo gharama za uchaguzi ambazo zimekuwa zikigharamikiwa na mataifa ya nje kwa muda mrefu kwenye chaguzi karibu zote kimewakwaza sana ,hiyo ndio pia njia wanayoitumia kuhalalisha watawala wanaowataka kwa maslahi yao binafsi.
Nionavyo ni kheri ya nusu shari kuliko shari kamili,
Nusu shari ni tume kukata jina lake,na shari kamili ni kuruhusu jina la Lissu kugombea urais.
Hivi sasa mitandaoni kuna vijana wameajiliwa kuitisha tume ya uchaguzi kwa threads za kila aina, mimi nasema wapuuzwe hiyo ni mission maalumu kutuingiza mkenge wakidai jina lake lisikatwe kwa kigezo cha kwamba hapatatosha
mimi nasema patatosha jina lake likatwe tu,kuruhusuu jina lake kugombea ndio hapatatosha kabisa kwa dhamira aliyonayo na wale maadui zetu,na hili litakua ni kosa la kiufundi ambalo tutajilaumu wenyewe.
Mwisho,umoja wetu ndio ushindi wetu dhidi ya maadui wa maendeleo ya taifa letu,kipindi hiki tushikamane haswa .
Akili yako ina utapiamlo sio bureKwanza nani kakuuliza kama umetumwa au la? Yes, tunajua umetumwa, ndiyo maana umetanguliza kujitetea.
Hilo kundi lenu la "usalama uchwara" mnaozunguka humu mitandaaoni kueneza propaganda na kuwaingizia hofu watawala ili wavunje sheria za uchaguzi makusudi kwa lengo la kubaki madarakani hamuisaidii nchi bali mnaiandaa for disaster.
Kama kweli Tume ya Uchaguzi imejipanga kutenda haki, na serikali na CCM yao hawajipangi kuiba au kudhulumu haki ya wananchi, hii hofu yote kwa Lissu ya nini? Msidhani mnawazi akili mamilioni ya watanzania mliowaziba midomo kwa miaka 5. Hamtaweza, hamjajipanga, wala hamna mbinu sahihi za kuzuwia wananchokitaka wananchi kupitia sanduku la kura.
Amani ya nchi itabaki kwa kutenda mambo mawili tu:
1. Kuacha haki itendeke katika process nzima ya uchaguzi. Msilogwe wala kuchochewa na shetani yeyote kuleta mizengwe kwenye uteuzi wa Lissu. Kufanya janja yoyote kuzuwia Lissu asigombee kwa sababu ya visingizio vyovyote ni kuamua moto uanze kuwaka mapema kabla ya uchaguzi, na hivyo kupelekea uchaguzi usiwepo kabisa. Msijaribu.!
2. Kuweka mfumo wa wazi wa kutangaza matokeo halali mwanzo mwisho na kuviruhusu vyama vyote vya siasa vikusanye matokeo yake na kulinganisha na ya Tume ili kila upande uridhike na mshindi halali. Mnaogopa nini kuweka wazi kama mnaheshimu matakwa ya wananchi?
Kinyume cha hapo, mjiandae kupambana na wananchi wenye hasira kali na waliochoka na upuuzi wenu wa kila uchaguzi. Hasira zote za watanzania zilizofunikwa kwa miaka mingi mtaziona mwaka huu mkifanya ujinga. Na nyie mnaojiita usalama mtaikimbia nchi na kuliachia jeshi la wananchi kuokota vipande vya mabaki ya upuuzi wenu.
Lissu sio tatizo. Lissu ni kikwazo cha uonevu, wizi, vurugu, na dhuluma yenu dhidi ya wananchi. Mnamwogopa kwa sababu mnajua, huyu si kama Lowassa 2015. Hana damu ya CCM ya unafiki na uoga. Ana maanisha kweli. Kajitoa sadaka ili Tanzania ipone. Kuna nini ambacho hamjafanya dhidi yake mpaka awaogope? Kama hata ishara za Mungu hamziogopi subiri mkutane na kisasi chake dhidi ya uovu mkubwa mnaoitendea hii nchi.