Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi amezungumzia rufaa za ubunge 'wa upinzani' zinazocheleweshwa na sababu yake nini zikiwa zimebaki siku chache kabla ya uchaguzi?
Mahera anaongelea amani wakati wabunge kadhaa wa CCM waliopita bila kupingwaAmani ipi anayoongelea ikiwa Tundu alipigwa risasi mchana na hakuna kinachoendelea mpaka leo.
Mahela acha porojo ,amani itakuwepo kama msipoiba kura zetu.