Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchaguzi Huu utakuwa Huru na Haki.
Tufanye Kampeni Safi.
Hakuna kutafuta Huruma Ya Wananchi.
Matusi na Kejeli Hazifai.
Vipi kuhusu mgombea Urais anyapaswa kufika wilaya zote sijui mia mbili na ngapi kwa siku 60? Bado ni nyingi?me hata hizo 60 naona ni nyingi, sa mtu ka mgombea udiwani siku zote 60 anakua anaongea nini? ndomana wanatupaga ahadi za uongo coz ukiwa mkweli na mwenye fact siku chache tu zinakutosha na ukaeleweka, ila kwakua siku ni nyingi wanaamuaga kutafuta uongo wa kutosha siku zote
wanaweka siku nyingi ili wale hela za kampeni!me hata hizo 60 naona ni nyingi, sa mtu ka mgombea udiwani siku zote 60 anakua anaongea nini? ndomana wanatupaga ahadi za uongo coz ukiwa mkweli na mwenye fact siku chache tu zinakutosha na ukaeleweka, ila kwakua siku ni nyingi wanaamuaga kutafuta uongo wa kutosha siku zote
Sasa kwa mfano urais nani huko upinzani anakubalika zaidi ya Magufuli?Mwaka huu washindi wanajulikana
Kama mnalijuwa hili mmeweka wagombea wa nn?Rais tuliye naye sio muumini wa box la kura. Toka ameingia madarakani hakuna uchaguzi wowote uwe wa marudio au wa SM ulifanyika kwa usahihi. Zote aliagiza box la kura linajisiwe.
Hii kusema utakuwa huru na haki, ni ili kuhadaa watu wajitokeze kwa wingi, kwani kinachoendelea kwenye box la kura toka aingie, kimechangia watu kutukujitokeza kupiga kura.
Uchaguzi utakuwa huru kama kuna tume huru ya uchaguzi, sio kwa hadithi za rais anayeagiza box la kura libakwe. Hapo alipo ana matokeo tayari mfukoni.
Hii Tume haiaminiki. Kazi yake kubwa ni kuibeba ccm.
Hivi Mr Amsterdam hawezi kuimulika?
Mpaka Mr Amsterdam aje, itakuwa too late...
Mabadiliko ya vipengere vya uchaguzi yafanyike sasa na tume iwashirikishe wadau wote kabla ya uchaguzi na wakubaliahe na rules zitakao uongoza uchaguzi huu...
Kuingia katika uchaguzi na mapungufu ya vipengere hivyo maana yake wapinzani wamekubali kuchakachuliwa asubuhi na mapema...mchezo lazima uwe sheria ambazo hazijengi mazingira ya upendeleo kwa timu moja...
Halafu kwa sasa duniani hapa mambo Karibu yote ni digital, kwa nini hii tume isiufanye uchaguzi ki-digital ; wanapenda sana kutumia makaratasi, na kuundesha chaguzi ki- analogia- hii njia kwa sasa na tangu zamani imezua manunguniko mengi...
Ni wakati sasa watuletee digital election au uchaguzi utao fanywa kutotiliwa mashaka, ukakasi na ujanja ujanja .
Kata zote hazilingani, ukienda vijijini kuna mahali umbali wa kuanzia mwanzoni mwa kata hadi mwishoni ni kilometa zaidi ya 30, na si wagombea wote wa magari, wengine watatumia pikipiki na wengine baiskeli na wengine miguu tu. Pia unakuta kata ina vitongoji zaidi ya 10 na ili uweze kukutana na wananchi kwa karibu ni vyema ukafanya mkutano kila kitongoji, hivyo unahitaji siku 10 za mikutano na mikutano hufanyika weekend kwa hiyo katika miezi 2 una weekend 8 tu, zikizidi sana 9. Ndiyo maana siku 60 hazitoshi. Pia kumbuka kuna mikutano ya ngazi ya jimbo atakayolazimika kuwa na mgombea urais.me hata hizo 60 naona ni nyingi, sa mtu ka mgombea udiwani siku zote 60 anakua anaongea nini? ndomana wanatupaga ahadi za uongo coz ukiwa mkweli na mwenye fact siku chache tu zinakutosha na ukaeleweka, ila kwakua siku ni nyingi wanaamuaga kutafuta uongo wa kutosha siku zote
bila kuweka wagombea utawezaje kujua udhaifu au upotoshaji uliofanyika? Maana mgombea atapita bila kupingwa na hakuna uchaguzi, ujue kama mgombea ni mmoja basi hakuna kupiga kura!Kama mnalijuwa hili mmeweka wagombea wa nn?
Kama mnalijuwa hili mmeweka wagombea wa nn?