Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yawataja wabunge 18 waliopita bila kupingwa. Wamo Nape, Kigwangala, January, Kabudi, Mnyeti...

Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yawataja wabunge 18 waliopita bila kupingwa. Wamo Nape, Kigwangala, January, Kabudi, Mnyeti...

Ila kwa mtazamo wangu, wagombea Wa upinzani wangeachwa tu maana maeneo yote hayo isipokuwa mtama Ccm ina asilimia kubwa ya kushinda.

Ndiyo maana wengine tunaamini kwamba kuna uwezekano Mkubwa huu mchezo umefanywa na wagombea wenyewe Wa upinzani ili kujipatia fedha
 
1. Ushetu - Elias Kwandikwa
2. Kongwa - Job Ndugai
3. Gairo - Ahmed Shabiby
4. Kilosa - Palamagamba Kabudi
5. Mvomero - Jonas Van Zeeland
6. Morogoro Kusini - Kalogereris Innocent
7. Morogoro Mashariki - Taletale Hamis Shabani
8. Mlele - Eng. Isaack Kamwelwe
9. Kavuu - Geofrey Pinda
10. Songwe - Philipo Mulugo
11. Bukene - Zedi Jumanne
12. Nzega Vijijini - Hamis Kigwangalla
13. Ruangwa - Kassim Majaliwa
14. Mtama - Nape Nnauye
15. Namtumbo - Vita Kawawa

View attachment 1551183
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk.Wilson Mahera (katikati) akizunghumza na waandishi wa Habari katika ofisi za Tume Njendengwa Jijini Dodoma leo ambapo ametangaza majimbo 18 ya uchaguzi ambayo wagombea wake wamepita bila kupingwa. Kushoto ni Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpigakura, Givness Aswile na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Habari na Elimu ya Mpigakura, Dk. Cosmas Mwaisobwa.

======

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUTEULIWA WAGOMBEA PEKEE WA UBUNGE KATIKA UCHAGUZI MKUU WA 2020 #uchaguzimkuu2020
View attachment 1551101View attachment 1551102
Hawapigiwi kura ya NDIYO au HAPANA?
 
Kinachopangwa na wenzetu hawa ni kibaya sana kwa nchi yetu! Sasa hivi hakuna speed Gavana tumekwisha!
 
Halaf degree nne za Kyela zinaenda benchi
Yule nae walewale tu na Mulugo heri angewekwa mtu mwingine kuliko kumpeleka bungeni Mulugo tena unopposed ni aibu kwa nchi.

Watu wa aina hii kazi yao kubwa bungeni ni kupiga makofi na kutupitishia sheria mbovu na kandamizi.
 
Maeneo mengine ni mpambano wa CCM na PPT maendeleo, CCM na UPDP n.k

Mbona wanadai wabunge 50 sijui wa chadema na act 47 wamekatwa alafu orodha ina majina 18 tu. Kwahiyo kuna majimbo yatakosa wawakilishi au Mimi ndio kichwa changu kizito
 
Lissu atawatesa Sana na kesho tunaanza maandamano kwenye Majimbo yenu hakuna Cha kupita bila kupingwa
Uzuri wenu mnaongea huku mmejificha nyuma ya keyboard
Mngejikita katika kupata wabunge wengi,mnapoteza muda hamtafanikiwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama nakuboa tangulia
 
Hivi inakuwaje mtu anapita bila kupingwa huu ni upumbavu wa hali ya juu inabidi bila kujali tofauti zetu tuunganishe nguvu na kudai mgombea binafsi kwani mahakama ya afrika ilisharuhusu
 
1. Ushetu - Elias Kwandikwa
2. Kongwa - Job Ndugai
3. Gairo - Ahmed Shabiby
4. Kilosa - Palamagamba Kabudi
5. Mvomero - Jonas Van Zeeland
6. Morogoro Kusini - Kalogereris Innocent
7. Morogoro Mashariki - Taletale Hamis Shabani
8. Mlele - Eng. Isaack Kamwelwe
9. Kavuu - Geofrey Pinda
10. Songwe - Philipo Mulugo
11. Bukene - Zedi Jumanne
12. Nzega Vijijini - Hamis Kigwangalla
13. Ruangwa - Kassim Majaliwa
14. Mtama - Nape Nnauye
15. Namtumbo - Vita Kawawa

View attachment 1551183
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dk.Wilson Mahera (katikati) akizunghumza na waandishi wa Habari katika ofisi za Tume Njendengwa Jijini Dodoma leo ambapo ametangaza majimbo 18 ya uchaguzi ambayo wagombea wake wamepita bila kupingwa. Kushoto ni Mkurugenzi wa Habari na Elimu ya Mpigakura, Givness Aswile na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi wa Habari na Elimu ya Mpigakura, Dk. Cosmas Mwaisobwa.

======

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUTEULIWA WAGOMBEA PEKEE WA UBUNGE KATIKA UCHAGUZI MKUU WA 2020 #uchaguzimkuu2020
View attachment 1551101View attachment 1551102
Haya mwambie Dovotha Minja wenu akapambane na Abood sasa
 
Tume hii sio guru na imejidhihirisha ilivyojibu pingamizi la lissu dhidi ya rais magufuli na prof lipumba, ule uamuzi sio wa kisheria.
Pili,kutosikiliza rufaa za wabunge wa upinzani kwa weledi,
Hapa wanazidisha fitina tu kwa wapinzani wakihisi Cdm,act watajitoa ndiyo wanachohisi
Ni kweli,tume yetu ya uchaguzi wanaongea mfano wa tume inayofanya kazi kwa kujibu wa sheria.

Pingamizi la Lisu lilikuwa ni la kisheria,nilijua tume wangetoa uamuzi wao kwa mujibu wa sheria,ajabu sikusikia wakinukuu kifungu chochote cha sheria waliyotumia ili kutupilia mbali mapingamizi yale juu ya Magufuli na Lipumba.

Sasa kuna hawa wana ccm waliopitishwa kienyeji kwamba wamepita bila kupingwa,je,tume wanataka tuamini kwamba ccm ndiyo pekee wanaojua kujaza fomu vizuri na hawana makosa yoyote yanayopelekea kukosa sifa za kugombea???? Kwa nini iwe ni wapinzani tu wanapokosa sifa za kugombea????

Ningekuwa wa kwanza kuwaamini kama kungekuwa na wapinzani waliopita kwa mtindo huo,lkn hawa ccm pekee yao inatia shaka.

Huko Ruangwa kuna ushahidi wa watu kutekwa na kupigwa mapanga,katibu cdm wa wilaya kutekwa,na hata majimbo mengine watu wameporwa fomu,wahusika wa matukio hayo hawajakamatwa mpaka sasa,halafu tume wanatoa matokeo haya,kwa nini watuhumiwa wa matukio haya wasiwe ni hao waliopita bila kupingwa? Ama serikali yao kwa nini watu wanahisi kuhusika ili wasiwe na kazi ya kuomba kura kwa wananchi???

Kama kweli matukio haya ya jinai hayakufanywa na serikali,polisi,na vyombo vyake vya usalama,ni kwanini hakuna hata tamko moja la viongozi wa serikali au hata polisi?

Hao waliopitishwa na tume mpaka sasa ni wabunge 18,je madiwani si watakuwa ni kwa maelfu?

Mwisho wananchi watakuwa wanajua kwamba serikali iliyopo si yao,ni ya kundi fulani,si serikali ya haki,je tunaweza kudumu na amani tuliyo nayo kwa kudhulumu watu kama tunavyofanya???

Wenzetu waliokosa amani kwenye mataifa yao walianza hivi hivi,na mwishowe majuto ni mjukuu.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom