Tume ya Uchaguzi ifanye nini ionekane ipo huru?

Tume ya Uchaguzi ifanye nini ionekane ipo huru?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Wapo wanaodhani kuwa Tume haiko huru na Kuna wanaoamini iko huru.

Wale wasioamini kuwa Tume iko huru kipi Tume ifanye ili ionekane iko huru?
 
Iache mara moja na iwaombe watanzania radhi kwa kuipigia CCM kampeni na imwajibishe magufuli kwa kukiuka kanuni za uchaguzi!
 
Zikitangazwa wanafanyiwa interview na nani? Mwisho wa siku hao tume ni binadamu kwa namna yoyote lazima watakuwa na mafungamano ya chama flani
Isichaguliwe na kiongozi wa kisiasa. Na nafasi ziwe zinatangazwa kama kazi zingine.
 
Wapo wanaodhani kuwa Tume haiko huru na Kuna wanaoamini iko huru.

Wale wasioamini kuwa Tume iko huru kipi Tume ifanye ili ionekane iko huru?
Impe adhabu magufuli kwa kuongea kisukuma kwenye mikutano ya kampeni wakati anajua watz wote wanafuatilia anachokiongea
 
Ili tume iwe huru inatakiwa isichaguliwe na Rais Wala na chama tawala.full stop
Huo ndiyo ukweli. Katika mfumo tuliokuwa nao tume ya uchaguzi ambao unahusisha vyama mbalimbali wajumbe wake hawatakiwi kuteuliwa na mtu ambaye kuna muda naye au Chama chake wanatakiwa wasimamiwe na tume hiyo hiyo tena.
 
Wapo wanaodhani kuwa Tume haiko huru na Kuna wanaoamini iko huru.

Wale wasioamini kuwa Tume iko huru kipi Tume ifanye ili ionekane iko huru?

Iache kuengua wagombea wa upinzani, mkurugenzi aache kukifanyia kampeni hadharani chama anachokipenda
 
Wapo wanaodhani kuwa Tume haiko huru na Kuna wanaoamini iko huru.

Wale wasioamini kuwa Tume iko huru kipi Tume ifanye ili ionekane iko huru?
Wakati wa kuhesabu na kutangaza kura vyama vya wapinzani vishirikishwe kikamilifu kwa uwazi
 
Hajui? Itende haki , ifuate sheria na katiba , iache kutumika na kupokea maagizo kutoka juu ya kipumbafu kabisa .
 
Wapo wanaodhani kuwa Tume haiko huru na Kuna wanaoamini iko huru.

Wale wasioamini kuwa Tume iko huru kipi Tume ifanye ili ionekane iko huru?
Marehemu Mkapa aliamini tume ya uchaguzi haiko huru!!!!!
 
Isimamie kwa weledi kanuni za uchaguzi ilizozitengeneza yenyewe!! Kama mjumbe au mkurugenzi wa Tume ana mapenzi na chama cho chote, basi hayo mapenzi ayafanyie nyumbani kwake!
 
Back
Top Bottom