Engua engua ni kiashiria kidogo kionesha kuwa haipo huru. Kitendo cha kutaka tuamini kuwa ccm hakuna hata mmoja mwenye makosa ya ujazaji na uwasilishaji wa form ni kiashiria kuwa tume tume iliwajazia form hizo, hata hizi lawama za tume kwa upinzani tu ktk mwenendo wa kampeni ni kiashiria kuwa haiko huru, kwani kuna makosa makubwa yanayo fanywa na CCM waziwazi lkn tume ipo kimyaaaaa,........Wapo wanaodhani kuwa Tume haiko huru na Kuna wanaoamini iko huru.
Wale wasioamini kuwa Tume iko huru kipi Tume ifanye ili ionekane iko huru?