Engua engua ni kiashiria kidogo kionesha kuwa haipo huru. Kitendo cha kutaka tuamini kuwa ccm hakuna hata mmoja mwenye makosa ya ujazaji na uwasilishaji wa form ni kiashiria kuwa tume tume iliwajazia form hizo, hata hizi lawama za tume kwa upinzani tu ktk mwenendo wa kampeni ni kiashiria kuwa haiko huru, kwani kuna makosa makubwa yanayo fanywa na CCM waziwazi lkn tume ipo kimyaaaaa,........Wapo wanaodhani kuwa Tume haiko huru na Kuna wanaoamini iko huru.
Wale wasioamini kuwa Tume iko huru kipi Tume ifanye ili ionekane iko huru?
Acheni kucheza na Amani ya nchi hii sikilizenini mapenzi ya wananchi na sio matakwa ya mtu mmoja nyie ndio mtaibeba amani ya tz na nyie ndio mtapoteza amani ya nchi hii sasa msitangulize masilahi yenu mbele ambao nyie ni kikundi tu cha watu mkashindwa kuwasamini mamilion ya wa tz in short msitupangie acheni wa tz tupange sisiWapo wanaodhani kuwa Tume haiko huru na Kuna wanaoamini iko huru.
Wale wasioamini kuwa Tume iko huru kipi Tume ifanye ili ionekane iko huru?
Tume ijiuzulu mara moja.Wapo wanaodhani kuwa Tume haiko huru na Kuna wanaoamini iko huru.
Wale wasioamini kuwa Tume iko huru kipi Tume ifanye ili ionekane iko huru?
Wewe mwenyewe sema ukweli wako kwanza kabla ya sisi kusemaWapo wanaodhani kuwa Tume haiko huru na Kuna wanaoamini iko huru.
Wale wasioamini kuwa Tume iko huru kipi Tume ifanye ili ionekane iko huru?
Wewe ni mahera?Wapo wanaodhani kuwa Tume haiko huru na Kuna wanaoamini iko huru.
Wale wasioamini kuwa Tume iko huru kipi Tume ifanye ili ionekane iko huru?
Lakini watakua mchanganyiko. Ni kama maeneo mengine tu ya kazi mkuu. Sasahivi tume nzima ni CCM kwa sababu wote wameteuliwa na mwenyekiti wa CCM.Zikitangazwa wanafanyiwa interview na nani? Mwisho wa siku hao tume ni binadamu kwa namna yoyote lazima watakuwa na mafungamano ya chama flani
Ikatae kuyumbishwaWapo wanaodhani kuwa Tume haiko huru na Kuna wanaoamini iko huru.
Wale wasioamini kuwa Tume iko huru kipi Tume ifanye ili ionekane iko huru?