Tume ya Uchaguzi Kenya yadai server ya matokeo iko Ulaya! Tume inataka kuficha nini?

Tume ya Uchaguzi Kenya yadai server ya matokeo iko Ulaya! Tume inataka kuficha nini?

Hapo Jubilee wanazuga tu ili wafute logs na footprint kwenye server.uhuni wa kimafia hehee.
 
server kuwa ulaya sio issue... kikubwa ni access ya kufanya unachotaka kwenye hizo server. pili lazima NASA wawe wazi wanataka kufanya nini kwenye server ndipo waruhusiwe. la sivyo unaweza ukawapa access kuchakachua data ili kufitisha kwenye hoja zao....
 
My take :you don't know what you're talking about. Have you ever heard of the big business of Data Hosting companies like RackSpace Hosting,IBM Cloud services,Dimension Data ,Lenovo Cloud etc?

Why would organizations need to buy expensive hardware when you can rent space in a more secure place off location for a fraction of the costs?
what your trying to say hata serikali haina its own server ya kutunza its own data?seriously??
 
There is no way that NASA will win court battle....
 
what your trying to say hata serikali haina its own server ya kutunza its own data?seriously??
Not necesarily mimi sisemi hivyo.Having your own servers is not a given ,you can rent and you can still own some- same as central banks keeping their $$ at home yet some still find it necesary to keep their money with the Federal Reserve of the USA.
 
Hii imekaaje?! Tume ya uchaguzi ya Kenya imekataa kuwaruhusu wataalm wa Odinga (NASA) kukagua computer yao kwa madai kuwa server yao iko Ulaya! Hii ni kinyume na amri ya Mahakama ya Rufaa iliyowataka Tume kuwaruhusu NASA kukagua computer hizo!

My take: Tume inataka kuficha nini?

Tafadhali usikuwe mtu wa kueneza fake news.
IEBC haikukataa kuwarusu Nasa server. Ilhali kulikuwa na delays kwa sababu ya complexity na time difference.
Kampuni iliyo pewa kandarasi ya kutengeneza na maintenance ya system iko USA. Server nazo ziko France.

Ili Nasa na Jubilee wapewe access, kulikuwa na technical aspects ambazo lazima zitimizwe.
Kumbuka hii ni system itakayo tumiwa kwenye chaguzi zingine. Lazima ibaki na integrity. Yaani, hawa experts wa Nasa na Jubilee wasiweze kuisome venye wanaweza kuhack in future.
Nadhani process ya kuwafungulia mlango bila kuacha system uchi ni complicated.
 
Ningeshangaa. Leo hii ndo wanakumbuka kusema Server ipo Ulaya? Stupid African politics. Kumbe zile sifa zote kwamba Tume yao ipo huru ni bure tu. Kenya sawa na Uganda, Tanzania, Zimbabwe and all other African Countries
 
Wanaosifia demokrasia ya Kenya mkuje. Hakika Odinga aliibiwa kura.
Computer generated Leaders. Niliingia kwa website ya IEBC masaa machache baada ya kura kuanza kuhesabia na Kenyatta was leading at 54.1%. Hii winning rate haikubadilika mpaka mwisho. Ni kama vile kulikuwa na ka computer aligorithm kanakocompute results
 
Ningeshangaa. Leo hii ndo wanakumbuka kusema Server ipo Ulaya? Stupid African politics. Kumbe zile sifa zote kwamba Tume yao ipo huru ni bure tu. Kenya sawa na Uganda, Tanzania, Zimbabwe and all other African Countries

Africa haina data centre za maana. Ata website hii ya Jamii niko sure inahostiwa na kampuni ya ulaya.
Na ilivyofanya IEBC kuhost system yao na makampuni za USA na France ni muhimu kwa vile najua siasa za Kenya, watu wangesema ati zikiwa Kenya serikali ina uwezo wa kuinfluence.
Ata ballot paper ilisemekana ziprintiwe nje ya nchi (Dubai).
In any case, server in this case haina maana. Ilikuwa ya trasparency pekee yake. Lakini results zote zilitangazwa baada ya makaratasi yote kukusanywa na kujumulishwa.
 
Computer generated Leaders. Niliingia kwa website ya IEBC masaa machache baada ya kura kuanza kuhesabia na Kenyatta was leading at 54.1%. Hii winning rate haikubadilika mpaka mwisho. Ni kama vile kulikuwa na ka computer aligorithm kanakocompute results

Umeskiza propaganda za Nasa sana. Mwanzo kabisa Uhuru alikuwa ata 57%. Aliendele kushuka pole pole.
 
CJ MARAGA GET ANGRY WITH JUBILEE LAWYERS AND IEBC FOR NON COMPLIANCE WITH SUPREME COURT ORDERS
  • My Lord , servers are in Europe and we are not refusing access.... - Paul Muite

 
Aug 29, 2017
Nairobi, Kenya

Post analysis of the last Supreme Court hearing of the presidential petition
Ken Mijungu and the panel comprising Moses Kurgat, George Kithi, Duncan Okatch and Kakai Kissinger analyze the last hearing session of the [HASHTAG]#PresidentialPetitionKE[/HASHTAG]
  • Jurisprudence
  • Amicus curiae
  • Courtroom decorum and legal etiquette
  • Intellectual discourse
  • Social media stopping being tribal
  • balancing between quality and quantity of evidence
  • Hope for the rest of the citizens outside the courtroom

Source: Kenya NTV
 
Hii imekaaje?! Tume ya uchaguzi ya Kenya imekataa kuwaruhusu wataalm wa Odinga (NASA) kukagua computer yao kwa madai kuwa server yao iko Ulaya! Hii ni kinyume na amri ya Mahakama ya Rufaa iliyowataka Tume kuwaruhusu NASA kukagua computer hizo!

My take: Tume inataka kuficha nini?
Walichotakiwa kukifanya NASA ni kukagua mfumo wa kupokelea na kutangazia matokeo na kujiridhisha kama haukuingiliwa!
Mapema wakati wa kumalizia kuwasilisha madai yao, nimemuona na kumsikiliza wakili wa NASA akikiri kuruhusiwa kufanya ukaguzi huo ingawa amedai kutokana mfumo huo kuwa strong na masuala ya kuzuia kudukuliwa, iliwachukua muda kuweza kuingia kwenye mfumo na kukagua,na matokeo hawakuona dalili za kudukuliwa matokeo!

Suala la kutaka kukagua server sio jambo waliloelekezwa na mahakama kulifanya!
Ikumbukwe kwamba systems kubwa kama hizi za uchaguzi kwa kiasi kikubwa huwa zinaandaliwa, kusimamiwa kwa ukaribu sana na watengenezaji wa system husika! Suala la server ya Tume ya uchaguzi Kenya kuwa ulaya ni jambo la kawaida! Inategemea na walivyoamua wao!

Ukweli tume ya uchaguzi Kenya imetoa ushirikiano mkubwa sana kwa wadai ambao ni NASA, hili hawawezi kulipinga. Na kuna uwezekano mkubwa sana Raila akashindwa kesi hii kwani madai yao mengi yanajikita katika kasoro ndogo ndogo sana ambazo kiuhalisia haziwezi kusababisha uchaguzi kurudiwa!

Raila alimalizwa na waangalizi wa Kimataifa ambao comments zao wote zilisifia mwenendo wa uchaguzi na matokeo yake!
Changamoto ipo kwa tume yetu ya uchaguzi Tanzania, ukweli ni kwamba kwa kulinganisha na Kenya, tume yetu inabaki kuwa Tume ya uchaguzi mbovu kabisa kwa jinsi inavyojiendesha!
Yetu ni tume ambayo kwa kiasi kikubwa ilikalili matokeo kutoka katika midomo ya akina January na Nauye!
Ni aibu!
 
Kuna zile nyumbu zilikuwa zinatiririka humu zinasifia demokrasia ya Kenya.
Hata hivyo huwezi linganisha na ya Tanzania!! Si bora huko mgombea anauwezo hata wa kupinga matokeo mahakamani???! Na mahakama ikayasikilza!! Na wanasheria wakapambana kwa hoja, hapa kwetu hata hayo tu ni ndoto. Kwa afrika kenya wamepiga hatua kubwa sana mbele!!
 
Back
Top Bottom