Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi leo tarehe 25.08.2020 kufanya uteuzi wa Wagombea mbalimbali

Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi leo tarehe 25.08.2020 kufanya uteuzi wa Wagombea mbalimbali

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
54,894
Reaction score
64,043
Tume Ya Uchaguzi (NEC) Leo Itafanya Uteuzi Wa Wagombea Nafasi Mbalimbali Kwenye Uchaguzi Ujao:-
Nafasi Ya Rais, Makamu Wa Rais, Wabunge, Madiwani

Vyama Vyenye Usajili Ni Kumi Na Saba (17)

Wananchi Wengi Masikio Na Macho Yao yatakuwa Dodoma Kujua Hatua Kwa Hatua ya tukio lote.

Vyombo Vingi Vya Habari Vitakuwa Mubashara
 
Mtapigwa kipigo cha mbwa coco,

I wish I could the IGP says Magufuli ,mmoja ya wagombea
Tena leo tunaanza afande moloto ..anasura ngumu ka jiwe lkn ile sura yake tutaifunika kiroba wkt tunamshughulikia ..pumbavu kbs
 
Alisikika kijana mmoja kutoka Koromije akisema "Tumemchoka Ibilisi, tumemchoka Ibilisi. Toka ewe pepo mchafu, toka ewe pepo mchafu".
 
Wakimkataa ni "NI YEYE" tunaingia road leo
Mnaingia na YeYe au na mkeo au mumeo. Ingieni muone halafu NI YEYE atakuwa keshasepa kwa manwana zake Ubeligiji. Nani alikwambia anautaka urais pasipokuwa na agenda yoyote ya maendeleo zaidi ya kutafuta vurugu kwa kumtukana Rais.

Na mtatandikwa kweli, unadhani vyombo vya dola ni mapambo. Muulizeni NI YEYE atawapa jibu. Hatuwezi haribu amani ya nchi kisa jinga moja limetoka Ubeligiji kutibiwa linatukana tu
 
Naona umeandika ukiwa na maumivu sana

NI YEYE
Mnaingia na YeYe au na mkeo au mumeo. Ingieni muone halafu NI YEYE atakuwa keshasepa kwa manwana zake Ubeligiji. Nani alikwambia anautaka urais pasipokuwa na agenda yoyote ya maendeleo zaidi ya kutafuta vurugu kwa kumtukana Rais.

Na mtatandikwa kweli, unadhani vyombo vya dola ni mapambo. Muulizeni NI YEYE atawapa jibu. Hatuwezi haribu amani ya nchi kisa jinga moja limetoka Ubeligiji kutibiwa linatukana tu
 
hawa jamaa wakimkata mtu itakuwa wameshaiharibia CCM na kuipa hali ngumu kuiba kura,maana wapinzani wakiwa wengi wataweza kuzigawa kura za ushindi kwenye haya makundi ,yule nne,huyu mbili mwengine tatu ,wale wa ubwabwa moja CCM anapata nane tu,alafu wanatupa changa la macho wapinzani wangeungana wangetushinda ,mpo .Ni mbinu iliyobaki kucheza na wapinzani na sio kuwakata.
 
Back
Top Bottom