Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi leo tarehe 25.08.2020 kufanya uteuzi wa Wagombea mbalimbali

Sioni Lissu akikatwa...tume ikimkata itampa jeuri ya ningeshinda. Na kujiona anaogopwa.

Lissu aachwe ashindwe kwenye sanduku la kura...mtu kama Lissu ni wa kumshinda kwenye sanduku la kura. Kumwonyesha nchi haihitaji mihemko.
 
mchakato huu unataraji kuanza wakti gani ndugu zangu
 
Watu wamejaa hisia na mihemko eti flani anakatwa, eti sijui nini, NEC hawana mpango huo, mpango mzima Upo kwa watanzania, wanamsubiri wamusulubu asubhiii na mapema
 
Ngoja Muda ufike.
 
[emoji23][emoji23] hata hujielewi. Mali, Belarus and the likes walipata sapoti ya jeshi. Mabeyo anaweza mgeuka magu? Wacha kuota amka kasake pesa
Mali kwani aliyesapoti ni "Mabeyo"?
Bwana mdogo mmoja mwenye cheo cha kanali ndio kawapa furaha "Mali Mali".
 
Wakimkata Advertise tunachoma jengo lao hilo la "TUME YA UCHAFUZI".
 
Kwel ujinga na ushamba ni mzigo mzto
 
Hata wagombea wa ubunge udiwani kabla ya kurejesha form wawe na copy ya kile walichokijaza ili wajiwekee akiba ya ushahidi
 
[emoji23][emoji23] hata hujielewi. Mali, Belarus and the likes walipata sapoti ya jeshi. Mabeyo anaweza mgeuka magu? Wacha kuota amka kasake pesa
Hujui Kama hata Mabeyo mwenyewe anaweza kugeukwa? Au unadhani hata huko Mali aliyeongoza mapinduzi Ni mkuu wa majeshi
 
Siku ya historia kubwa Tanzania ya Tanganyika..nina AMANI kwakuwa hakatwi mtu...usiniulize nimejuaje
Unaweza usikatwe sahivi ila kwenye vichinjio kitaeleweka tu..😅
 
[emoji23][emoji23] hata hujielewi. Mali, Belarus and the likes walipata sapoti ya jeshi. Mabeyo anaweza mgeuka magu? Wacha kuota amka kasake pesa
Nchi chache saana zilizopinduliwa mkuu wa majeshi aligeuka.. Nyingi hupinduliwa na hawa makanali na wengine vyeo vya chini.. Tuombee tusifike huko.. Tume itatenda haki bila wasiwasi.. CDM acheni woga
 
[emoji23][emoji23] hata hujielewi. Mali, Belarus and the likes walipata sapoti ya jeshi. Mabeyo anaweza mgeuka magu? Wacha kuota amka kasake pesa
HOSNY MUBARAKA 2011 Egypt uprising aliondoka mbali na jeshi kuwa upande wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…