Elections 2010 Tume ya uchaguzi na mtandao wa matokeo

Elections 2010 Tume ya uchaguzi na mtandao wa matokeo

Kama hii ndiyo source ya results za uchaguzi mbona majimbo mengi hayapo, kwa taarifa alizotoa Kinana inaonekana matokeo yote wanayo na viti vya ubunge walivyopoteza kwa upinzani.

Link ya NEC kwa matokeo ya urais ila hii website ya NEC nafikiri among other source hii ndo ingekuwa reliable kuwapa wananci matokea kama kwenye TV wanatoa huyo webmaster anafanya kazi gani? na utasikia analipwa 3m kwa hii non-interactive website

The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage
 
link ya NEC haina maana mbona hamna statistics za Wagombea wa Ubunge na Udiwani?
Hizo za Rais mpka zijae it will take days
 
Link ya nec pambo tu, hawafanyi chochote.masikini tanzania chini ya ccm.
 
Can you Imagine this is the only available results????

JK hakukosea alivyosema kwamba uchakachuaji utakua kwenye kujumlisha.

He will have to be responsible for the delay.

Watu tunakua kwenye stress utafikiri tumegombania Udiwani, Kulala Problem Kufanya kazi haiwezekani kutwa tunawaza matokeo.

Please we need them out seriuos.
 

Attachments

Wanaogopa kuweka yaliochakachuliwa.kuna sisi wafuatiliaji tumeshikilia kopi za matokeo katika kila kituo.ole wao yatofautiane!
 
Any special arrangement to get the scanned copies online if possible???
 
Hao wazee waliokabidhiwa huo wadhfa akina kiravo na makame,ni wa siku nyingi sana na hawajui maana wala umuhimu wa web, wao wanasubiri kufa tu,na watakufa midomo wazi.enzi zao hakukuwa na computer, kwa hiyo ni kama mnawalazimisha kufanya mambo wasiyoyajua, kwa kifupi walishapewa maelekezo wao ni kutekeleza tu,but mwisho wao si mbali
 
Kwani Mtandao huu wa kutoa matokeo walibambikiwa au ndio ugeni wa teknolojia?
 
Kwani Mtandao huu wa kutoa matokeo walibambikiwa au ndio ugeni wa teknolojia?
Nadhani watanzania tuwe na mchango utakaosaidia na sio kuwa na mawazo ya mkosaji. Uchaguzi umekwisha na rais ataapishwa muda si mrefu tuanze kudunda na kazi achana na dua la kuku ambalo daima halimpati mwewe. Nadhani watz mmenipata barabara sana. Uchaguzi umefanyika, alopata kapata alokosa kakosa hivyo mshukuru Mungu na kudunda kwa kwenda mbele kwani dua mbaya haisaidii hata kidogo.
 
BREEEAKING NEWS,,,,,,,,Hadi wakati huu Mitandao ya kutuma matokeo ya tume ya taifa ya uchaguzi haijetengamaa
Nadhani wamegundua kuwa inconsistencies wanazotoa katika majibu ya uchaguzi zitawaumbua. Wanajaribu kurekebisha. Hata hivyo watakuwa wanafanya kwa haraka na ku panic kwa hiyo kitakachotokea ni kuvuruga na kujiharbia zaidi.
 
Back
Top Bottom