Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi, NEC ilikuwa kimya kwa TLP na UDP kuiunga mkono CCM iwe kimya pia kwa ACT-Wazalendo

Wananchi wana akili za kutosha, inachotaka kukifanya ACT kwa chadema hakitofautiani sana na walichokifanya UDP na TLP kwa CCM, uwongo kweli? Hatukisikia mkutano mkuu wa UDP ukiliamua lile na wala hatukuisikia tume ikinyanyua kidole juu.

Lakini hata hivyo sio lazima chama cha siasa kupiga kampeni kwenye majimbo yote, ACT inaweza kukaa kimya au kujitoa kwasababu mbalimbali ikiwemo ya ukata ikaiacha chadema tu ikipiga kampeni majimbo yote.

Hata CCM iliposhinda uchaguzi mwaka 2015 bila kutarajia iliwajumuisha kwenye serikali yake baadhi ya wapinzani. Hii ni dalili kuwa vyama vilivyotoa wanachama waliojiunga kwenye kuunda serikali viliisaidia CCM kwenye uchaguzi kwa aina moja au nyingine kimyakimya, na ndiyo maana hakuna mtu kutoka chadema aliyeteuliwa kuwa hata katibu mtendaji wa kata kwenye serikali ya CCM. Tume yetu haikunyanyua jicho.

Sisi wapigakura tuna imani na tume yetu lakini tume yetu pia lazima iwe na imani na wapigakura kuwa tunazo kumbukumbuku na uelewa wa mambo
Mimi ni Mwananchi mwenzako ila nakiri hapa unatulisha tango pori. Naweza kusema ndugu yangu Kijana katika hoja yako umekurupuka maana Aliyetia neno kuhusu uchumba wa CHADEMA na ACT wala sio Time bali ni Msajili wa Vyma vya Siasa ambaye ndie msimamizi wa hivyo vyama.

Hebu itafute barua waliyoandikiwa ACT au Chadema Kisha usome anuani imetoka wapi.

Lakini pia, Sheria za Uchaguzi zipo wazi nadhani Tume Kama ingesema kitu katika hilo ingetaka tu Mgombea aliyetangaza kujitoa katika ulingo wa Uchaguzi kuandika barua ambayo ingethibitishwa na Chama chake na Kisha kuiwasilisha tume kabla ya Saa 12 jioni.

Ila sina hakika Kama Benard Kamilius Membe hadi Sasa amesha toa taarifa Tume ya Uchaguzi na Kama wamesha toa Basi Mkurugenzi wa Tume ataitaarifu umma juu ya hilo Kama alivyofanya kwa wagombea wa majimbo ya Chalinze na Madaba walioingia mitini.

Hivyo ndugu yangu hili andiko lako umelikosea na umelenga kuwapotosha wasomaji wa JF na kuwaaminisha kuwa Time ya Uchaguzi ndiyo inakosea. Ilhali ni taasisi nyingine.

Lakini Mbona unauhakika gani Kama TLP na UDP hawakufuata utaratibu wa kutoa taarifa mapema ya kuunga mkono Mgombea wa CCM? Je unavithibitisho? Kumbuka TLP na UDP wao hata Tume hawakusogea kuchukua Fomu lakini ACT alifika na kuchukua Fomu na akateuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais, hivyo mimi nadhani tunadili pia huo utofauti wa Ambaye hajachukua Fomu na aliyechukua na kuteuliwa kuwa Mgombea.
 
Wananchi wana akili za kutosha, inachotaka kukifanya ACT kwa chadema hakitofautiani sana na walichokifanya UDP na TLP kwa CCM, uwongo kweli? Hatukisikia mkutano mkuu wa UDP ukiliamua lile na wala hatukuisikia tume ikinyanyua kidole juu.

Lakini hata hivyo sio lazima chama cha siasa kupiga kampeni kwenye majimbo yote, ACT inaweza kukaa kimya au kujitoa kwasababu mbalimbali ikiwemo ya ukata ikaiacha chadema tu ikipiga kampeni majimbo yote.

Hata CCM iliposhinda uchaguzi mwaka 2015 bila kutarajia iliwajumuisha kwenye serikali yake baadhi ya wapinzani. Hii ni dalili kuwa vyama vilivyotoa wanachama waliojiunga kwenye kuunda serikali viliisaidia CCM kwenye uchaguzi kwa aina moja au nyingine kimyakimya, na ndiyo maana hakuna mtu kutoka chadema aliyeteuliwa kuwa hata katibu mtendaji wa kata kwenye serikali ya CCM. Tume yetu haikunyanyua jicho.

Sisi Wapiga kura tuna imani na tume yetu lakini tume yetu pia lazima iwe na imani na wapigakura kuwa tunazo kumbukumbuku na uelewa wa mambo.
Delete ccm Oct 28
 
Hojam mfuu hiyo
TLP walisema mapema sana,tena waliitisha mkutano mkuu,na wakaenda mbali hawakuteua mgombea
Chadema na ACT mlikataa kuungana mkisema kila mtu kivyake,mkateua wagombea na wakapita
Karatasi zimeshachapwa mnaleta janja janja baada ya mambo kuwa magumu?
 
Ni Nani amekwambia hivyo?
 
Mkuu sina ugomvi na tume, ila nina ugomvi na double standards kwenye jambo lilelile, ninaweza kuwaomba samahani Tume lakini hoja yangu ikabaki vilevile kwa aliyehusika na huo upogo wa kanuni ya vyama. Tumesikia msajili akisema TLP na UDP zililimwa barua baada ya ACT na chadema kuonyesha nia. Kwanini walilimwa barua kimyakimya lakini ACT wanalimwa barua kwa kupaza kelele hadharani.
 
sasa kuna shida gani kama mgombea atashindwa kuendelea na kampeni zake kwasababu mbalimbali ikiwemo ukosefu fedha? Msajiri au tume inaweza kutoa pesa kwa vyama vinavyoshindwa kuendelea na kampeni zake kutokana na uhaba wa fedha? Au masajiri anataka wagombea waache kampeni kimyakimya?
 
Mwaka huu CCM wanakwenda kusambaratishwa tarehe 28 Oktoba, wananchi wameanza kumwelewa Lissu.
Wananchi wanaomwelewa Lissu ni:
√ wafanya biashara waliokuwa hawalipi kodi;
√ wafanya biashara waliokuwa wskushirikiana na watumishi wa Serikali kuihujumu sasa nafasi hiyo sasa imezibwa. Pesa sasa inatumika kufanya shughuli za maendeleo;
√ watumishi wa Serikali waliokuwa wanawalipa mishahara na marupurupu mengine watumishi hewa;
√ watumishi wa Serikali waliokuwa na ajira kwa kutumia vyeti feki;
√ vijana nguvukazi walioshinda vijiweni wakipiga stori, kuvuta bangi na kucheza pool;
√ watu kama wewe ambao mnashabikia vitu msivyojua;
√ na kadharika
 
Umeshawahi kuhudhuria mikutano ya tundu lissu hivi karibuni? inaonekana huna habari na kinachoendelea wewe. Tume ikiwa huru na ya haki lolote linawezekana.
 
Wananchi wana akili za kutosha, inachotaka kukifanya ACT kwa chadema hakitofautiani sana na walichokifanya UDP na TLP kwa CCM, uwongo kweli? Hatukisikia mkutano mkuu wa UDP ukiliamua lile na wala hatukuisikia tume ikinyanyua kidole juu.

Lakini hata hivyo sio lazima chama cha siasa kupiga kampeni kwenye majimbo yote, ACT inaweza kukaa kimya au kujitoa kwasababu mbalimbali ikiwemo ya ukata ikaiacha chadema tu ikipiga kampeni majimbo yote.

Hata CCM iliposhinda uchaguzi mwaka 2015 bila kutarajia iliwajumuisha kwenye serikali yake baadhi ya wapinzani. Hii ni dalili kuwa vyama vilivyotoa wanachama waliojiunga kwenye kuunda serikali viliisaidia CCM kwenye uchaguzi kwa aina moja au nyingine kimyakimya, na ndiyo maana hakuna mtu kutoka chadema aliyeteuliwa kuwa hata katibu mtendaji wa kata kwenye serikali ya CCM. Tume yetu haikunyanyua jicho.

Sisi Wapiga kura tuna imani na tume yetu lakini tume yetu pia lazima iwe na imani na wapigakura kuwa tunazo kumbukumbuku na uelewa wa mambo.
Sure!

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Chama cha siasa siyo mali ya mtu binafsi ni cha wanachama lazima wanachama waridhie, waache kuendesha vyama ki saccos, tumeona ruzuku ya chadema imetafunwa bila ridhaa ya wanachama. Wafuate sheria walizosaini wenyewe
 
Bavicha kwa kulalamika hamjambo, utafikiri mbumbumbu fulani hivi!
Tume ilishaeleza siku nyingi hatua iliyochukua dhidi ya TLP na UDP kwa makosa hayo. Please kabla hamjaanza kulalamika mitandaoni muwe kwanza mnafuatilia kwa wahusika
 
Chama cha siasa siyo mali ya mtu binafsi ni cha wanachama lazima wanachama waridhie, waache kuendesha vyama ki saccos, tumeona ruzuku ya chadema imetafunwa bila ridhaa ya wanachama. Wafuate sheria walizosaini wenyewe
hao wanachama unaowasemea ni akina nani? mbona sijasikia wakisema hayo unayoyasema zaidi ya wale waliokwenda kuunga juhudi?

Mimi ninaona nyomi tu kwa chadema. Fikiria kama wangekuwa huru kukijenga chama chao kwa miaka 5
 
Umeshawahi kuhudhuria mikutano ya tundu lissu hivi karibuni? inaonekana huna habari na kinachoendelea wewe. Tume ikiwa huru na ya haki lolote linawezekana.
Tume Huru, tume huru umekuwa wimbo wakati wagombea wenu wanashabikia nyomi kwa tuhuma za uzushi?

Mtanzania wa leo, hata wa kijijini, anao ufahamu wa kutosha kule alikotoka, alipo na anakopelekwa na Serikali ya CCM. Anajua CHADEMA mitaani au vijijini hawana ofisi zao walizojijenga, wanadaiwa kodi na wafanyakazi hawalipwi. Iweje leo wawaamini kuwapa nchi kutawala?
 
Mkuu sina ugomvi na tume, ila nina ugomvi na double standards kwenye jambo lilelile, ninaweza kuwaomba samahani Tume lakini hoja yangu ikabaki vilevile kwa aliyehusika na huo upogo wa kanuni ya vyama. Tumesikia msajili akisema TLP na UDP zililimwa barua baada ya ACT na chadema kuonyesha nia. Kwanini walilimwa barua kimyakimya lakini ACT wanalimwa barua kwa kupaza kelele hadharani.
NIKUSHAURI JAMBO ZURI FAMYIA EDITING ANDIKO LAKO NA KILA PALIPO NA TUME WEKA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA. YAANI WEWE UNA MALALAMIKO NA TRA LAKINI UNAEMTUHUMU NI TCRA
MBONA HAWANAMAJUKUMU YANAYOSHABIHIANA.

SOMA HII BARUA UTAELEWA UMEKOSEA WAPI AU KAMA UNABARUA KUTOKA TUME IWEKE TUIJADILI.
PSX_20200924_122215.jpg
 
Wananchi wanaomwelewa Lissu ni:
√ wafanya biashara waliokuwa hawalipi kodi;
√ wafanya biashara waliokuwa wskushirikiana na watumishi wa Serikali kuihujumu sasa nafasi hiyo sasa imezibwa. Pesa sasa inatumika kufanya shughuli za maendeleo;
√ watumishi wa Serikali waliokuwa wanawalipa mishahara na marupurupu mengine watumishi hewa;
√ watumishi wa Serikali waliokuwa na ajira kwa kutumia vyeti feki;
√ vijana nguvukazi walioshinda vijiweni wakipiga stori, kuvuta bangi na kucheza pool;
√ watu kama wewe ambao mnashabikia vitu msivyojua;
√ na kadharika
Upo sahihi asilimia 100
 
Tume Huru, tume huru umekuwa wimbo wakati wagombea wenu wanashabikia nyomi kwa tuhuma za uzushi?

Mtanzania wa leo, hata wa kijijini, anao ufahamu wa kutosha kule alikotoka, alipo na anakopelekwa na Serikali ya CCM. Anajua CHADEMA mitaani au vijijini hawana ofisi zao walizojijenga, wanadaiwa kodi na wafanyakazi hawalipwi. Iweje leo wawaamini kuwapa nchi kutawala?
kweli kabisa, CCM iko madarakani kwa miaka 60 sasa, kama huko kijijini hawana hata maji ya kunywa mpaka leo unataka kuwashawishi na flyover moja iliyojengwa Dar es Salaam? kama wanaenda hospitali hakuna huduma unataka kuwashawishi na ndege ambazo hawajawahi sio kuipanda bali hata kuiona imetua ardhini? Unajuwa hebu tuacheni ushabiki wa vyama tuongelee hatima yetu.
 
Mbona tarehe 03/10/2020 bado, ambapo ACT wata'amua' kukiuka malengo yao kisiasa kwa matokeo hasi!
 
Back
Top Bottom