Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi, NEC ilikuwa kimya kwa TLP na UDP kuiunga mkono CCM iwe kimya pia kwa ACT-Wazalendo

NIKUSHAURI JAMBO ZURI FAMYIA EDITING ANDIKO LAKO NA KILA PALIPO NA TUME WEKA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA. YAANI WEWE UNA MALALAMIKO NA TRA LAKINI UNAEMTUHUMU NI TCRA
MBONA HAWANAMAJUKUMU YANAYOSHABIHIANA.

SOMA HII BARUA UTAELEWA UMEKOSEA WAPI AU KAMA UNABARUA KUTOKA TUME IWEKE TUIJADILI.View attachment 1579156
Kweli, wacha nichutame kama sehemu ya uungwana, maana jf sio chombo cha wahalifu, kina hadhi yake. Hata hivyo hali ilivyo sasa ya uchaguzi kuna mstari mwembamba sana unaotofautisha malalamiko dhidi ya TUME na Msajili kutoka kwa vyama vya upinzani. Malengo ya Msajili na Tume yana mwelekeo unaorandana dhidi ya vyama vya upinzani na chama tawala. Niliposikia kuwa hakuna hata mgombea mmoja aliyeenguliwa kugombea kutoka CCM Bara na Visiwani na hakuna mfanyakazi wa tume anayejisikia aibu kwa tukio kama hilo nikasema sasa hivi Tanzania inaelekea kubaya.
 
Wananchi wana akili za kutosha, inachotaka kukifanya ACT kwa chadema hakitofautiani sana na walichokifanya UDP na TLP kwa CCM, uwongo kweli? Hatukisikia mkutano mkuu wa UDP ukiliamua lile na wala hatukuisikia tume ikinyanyua kidole juu.

Lakini hata hivyo sio lazima chama cha siasa kupiga kampeni kwenye majimbo yote, ACT inaweza kukaa kimya au kujitoa kwasababu mbalimbali ikiwemo ya ukata ikaiacha chadema tu ikipiga kampeni majimbo yote.

Hata CCM iliposhinda uchaguzi mwaka 2015 bila kutarajia iliwajumuisha kwenye serikali yake baadhi ya wapinzani. Hii ni dalili kuwa vyama vilivyotoa wanachama waliojiunga kwenye kuunda serikali viliisaidia CCM kwenye uchaguzi kwa aina moja au nyingine kimyakimya, na ndiyo maana hakuna mtu kutoka chadema aliyeteuliwa kuwa hata katibu mtendaji wa kata kwenye serikali ya CCM. Tume yetu haikunyanyua jicho.

Sisi Wapiga kura tuna imani na tume yetu lakini tume yetu pia lazima iwe na imani na wapigakura kuwa tunazo kumbukumbuku na uelewa wa mambo.
Ndani ya hii tume kuna shida na ofisi ya msajili kuna shida kubwa! Siku zote ukiwasikia wamenyanyua mdomo kukemea jambo ujwe ni kwa faida ya chama kilichoko ikulu na si vingnevyo! Baada ya huu uchaguzi mkuu, lazima tudai katiba mpya ili itakayofumua na kuziondoa taasis zote kutoka mfukoni mwa CCM na kuwa taasis huru! Sote kwa pamoja tuendelee kuelimisha watu watumie vema sanduku la kura tukaiweke kando CCM ndipo haya yote yatawezekana!
 
Dah yaani nacheka kweli. Ina maana CCM imekata pumzi hadi inatumia Ofisi ya Msajili wa Vyama kuisaidia? Inafurahisha nikiona CCM inateseka hivyo! Tundu Lissu amekamua jiwe hadi linatoka maji!
 
Haya ni matawi ya CCM,
1.Jeshi la polisi
2.tume ya uchaguzi
3.mahakama

Tume ilipoona CCM inaungwa mkono na hivo vyama walifurahi ,na walipoona chadema inaungwa mkono na ACT wakachukia .

Tume inaumia sana CCM inapozidiwa kete
Mbona umesahau na bunge?
 
Matusi ni dalili mathubuti kabisa ya kuishiwa hoja
Kuna hoja gani unaweza kuijenga kuhusu tume? Unataka tuanze kuipqmba kwa ujinga inayoufanya dhidi ya wagombea wa upinzani?
 
Wananchi wana akili za kutosha, inachotaka kukifanya ACT kwa chadema hakitofautiani sana na walichokifanya UDP na TLP kwa CCM, uwongo kweli? Hatukisikia mkutano mkuu wa UDP ukiliamua lile na wala hatukuisikia tume ikinyanyua kidole juu.

Lakini hata hivyo sio lazima chama cha siasa kupiga kampeni kwenye majimbo yote, ACT inaweza kukaa kimya au kujitoa kwasababu mbalimbali ikiwemo ya ukata ikaiacha chadema tu ikipiga kampeni majimbo yote.

Hata CCM iliposhinda uchaguzi mwaka 2015 bila kutarajia iliwajumuisha kwenye serikali yake baadhi ya wapinzani. Hii ni dalili kuwa vyama vilivyotoa wanachama waliojiunga kwenye kuunda serikali viliisaidia CCM kwenye uchaguzi kwa aina moja au nyingine kimyakimya, na ndiyo maana hakuna mtu kutoka chadema aliyeteuliwa kuwa hata katibu mtendaji wa kata kwenye serikali ya CCM. Tume yetu haikunyanyua jicho.

Sisi Wapiga kura tuna imani na tume yetu lakini tume yetu pia lazima iwe na imani na wapigakura kuwa tunazo kumbukumbuku na uelewa wa mambo.
Hayo ndio Yale tunayosema uwepo was wazalendo maslahi no hasara kwa taifa upande wao hawaoni, kwajirani zao wanaona. Ndio maana hayo Mambo yanatakiwa fafikie mwisho na mwisho haupo mbali.
 
Naanza kuliona tatizo toka kwako mtoa mada na mashabiki wako, nakukumbusha tu Muungano au ushirikiano wa vyama liko chini ya MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA na sio TUME.
kuungana baada ya UTEUZI ni kosa
kuna mgombea ubunge kutoka ACT alijiondoa kwenye kampeni na kuunga juhudi, je hilo ni kosa?
 
Act wazalendo inawaomba wapenzi wa chama au wagombea wao wampe kura Lisu, hiyo ndio msajili hataki! Anataka kuwasawishi tume wachukue hatua gani? Au msajili anaweza kuzuia wanachama wa chama chochote kumpa kura alie wa chama kingine? Naomba kujua
 
Kuna hoja gani unaweza kuijenga kuhusu tume? Unataka tuanze kuipqmba kwa ujinga inayoufanya dhidi ya wagombea wa upinzani?
Tume ilishachukua hatua dhidi ya TLP na UDP, unataka ifanye nini tena?
 
Hii Tume imejichanganya tayari....

Hata wananchi wataanza kuidharau...isipojirekebisha mapema.
 
Wananchi wana akili za kutosha, inachotaka kukifanya ACT kwa chadema hakitofautiani sana na walichokifanya UDP na TLP kwa CCM, uwongo kweli? Hatukisikia mkutano mkuu wa UDP ukiliamua lile na wala hatukuisikia tume ikinyanyua kidole juu.

Lakini hata hivyo sio lazima chama cha siasa kupiga kampeni kwenye majimbo yote, ACT inaweza kukaa kimya au kujitoa kwasababu mbalimbali ikiwemo ya ukata ikaiacha chadema tu ikipiga kampeni majimbo yote.

Hata CCM iliposhinda uchaguzi mwaka 2015 bila kutarajia iliwajumuisha kwenye serikali yake baadhi ya wapinzani. Hii ni dalili kuwa vyama vilivyotoa wanachama waliojiunga kwenye kuunda serikali viliisaidia CCM kwenye uchaguzi kwa aina moja au nyingine kimyakimya, na ndiyo maana hakuna mtu kutoka chadema aliyeteuliwa kuwa hata katibu mtendaji wa kata kwenye serikali ya CCM. Tume yetu haikunyanyua jicho.

Sisi Wapiga kura tuna imani na tume yetu lakini tume yetu pia lazima iwe na imani na wapigakura kuwa tunazo kumbukumbuku na uelewa wa mambo.
Swali fikirishi Je rafiki yako makubaliano yenu nilazima muandikishane? nijuavyo mimi mengi huwa tunaonge na tunatimiza mfano ukimuahidi mpenzi wako kumnunulia simu je mnaandikisha? hahaa!
 
Ndani ya hii tume kuna shida na ofisi ya msajili kuna shida kubwa! Siku zote ukiwasikia wamenyanyua mdomo kukemea jambo ujwe ni kwa faida ya chama kilichoko ikulu na si vingnevyo! Baada ya huu uchaguzi mkuu, lazima tudai katiba mpya ili itakayofumua na kuziondoa taasis zote kutoka mfukoni mwa CCM na kuwa taasis huru! Sote kwa pamoja tuendelee kuelimisha watu watumie vema sanduku la kura tukaiweke kando CCM ndipo haya yote yatawezekana!
Hata kwa maandamano halali unaweza kuipata tume huru, Basi tu kwavile watu bado Wana matumaini bado na kisanduku Cha kura wakati vyama vingine vikiendelea kukomaa kisiasa.
 
Hakuna kitu useless kama hiyo sheria ya vyama kuungana[emoji23]

Sababu kuungana kunaweza kuwa formal ama informal.

Hata constitution kuna formal na informal.

Nadhani ccm ikirudi madarakani sheria ya kwanza kutunga 2021 itakuwa "Informal cooperation kwenye uchaguzi hairuhusiwi"[emoji851]
Watu watakuja kukuelewa baadaye
 
Huyu mupe yure muruke....kunya anye kwio akinya bata kahara
Hivi ACT Wazalendo na CHADEMA wakikaidi huu upuuzi, NEC na Msajili wa vyama, watafanya nini? Kuna mahali wataenda kushtaki? Najua ACT na CHADEMA wana mahali pa kushtaki.
 
Wananchi wanaomwelewa Lissu ni:
√ wafanya biashara waliokuwa hawalipi kodi;
√ wafanya biashara waliokuwa wskushirikiana na watumishi wa Serikali kuihujumu sasa nafasi hiyo sasa imezibwa. Pesa sasa inatumika kufanya shughuli za maendeleo;
√ watumishi wa Serikali waliokuwa wanawalipa mishahara na marupurupu mengine watumishi hewa;
√ watumishi wa Serikali waliokuwa na ajira kwa kutumia vyeti feki;
√ vijana nguvukazi walioshinda vijiweni wakipiga stori, kuvuta bangi na kucheza pool;
√ watu kama wewe ambao mnashabikia vitu msivyojua;
√ na kadharika
Na ninavyoijua Tanzania, hawa ni wengi kuliko watu wa aina yako. Na hao wakiamua mnang'oka asubuhi sana.
 
Back
Top Bottom