Tume ya Uchaguzi Uganda yamtangaza Museveni mshindi, Besigye apinga matokeo

duh tunachat na baba zetu humu
mtu aliyeanza sekondari 86 alimaliza 89 labda akaoa 95 akazaa mtoto wa kwanza 96 wewe umezaliwa 96??
rudi darasani ukasome, acha kuchezea simu
 
Imenikumbusha uchaguzi wa mwaka jana!!! AFRICA TUKO MBALI SANA!!!
 
Sioni haja ya kufanya chaguzi kwa nchi za Afrika. Mauzauza ni mengi mfano mkwamo uliopo Zanzibar nchini Tanzania baada ya kinachoitwa uchaguzi kumalizika kwa kumweka magufuli madarakani Tanzania bara na kumgomea Sharif Zanzibar, haya leo Museveni Uganda. Tujikubali tu kuwa tunajitawala kidikteta
 
Aibu kubwa kwa viongozi wa EAC.Hivi haingii akilini watu wanaona wapinzani bi RAIA halali wa nchi zao??Tatizo bi Rushwa na ufisadi.Wamezoea kula rushwa Ba ufisadi bila kuangalia wananchi wa kawaida.Sijui kwa Uganda lakini huko vita ya wenyewe kwa wenyewe anakuja.Sababu Kiiza ni Uganda yule mwingine asili ya kitutsi.Kuacha madaraka kwa watutsi siyo rahisi
 
Tanzania Uganda ea nzima hakuna haja ya Uchaguzi wa nacheza pesa ilhali wanajua wanaimba kura ili washinde
 
Kuna baadhi ya nchi za Africa ni bora tu kurudi kwenye chama kimoja.
 
Miraisi ya Afrika ndivyo ilivyo.... King'ang'anizi.
 
@Mk24 Uchaguzi Kenya ni lini? Kenya lazma kinuke tena!! Odinga hatakubali na wakenya sa hivi hawampendi Uhuru Kenyatta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…