Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Bwana mdogo mbona mwaka jana hukwenda kuwasaidia wascotchi walivyokuwa wanapiga kura ya kujitenga UK...na Australia wanaandaa kura baada ya kushindwa kujitenga UK 1999...usipige kelele jenga hoja...sasahivi mnataka kuwachagulia waganda raisi,Mkapa aliwapa jina lililowafaa "malofa na wapumbavu"...kwa uzuzu mkayaandika kwenye fulana zenu ngoja mbowe awazamishe mto mara mliwe na mamba ndio mtapata akili..nyumbu!We kweli hamnazo..... unamleta malkin kwenye utawala huu? Kwa UK ulitakiwa umwongelee waziri mkuu ndo maana elimu elimu elimu ndo majibu ya mtu kama nyie.......