Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mkuu kwa sasa uongozi wote wa juu wa fdc wamezuiliwa ndani ya ofisi za chama na vikosi vyav ulinzi na usalamamkuu angalia uwezekano wa kupata mawasiliano ya katibu mkuu au viongozi wengine wa chama cha kiiza , maana nimejaribu kumpigia mwenyewe simu yake imezimwa , nadhani ni kwa vile jana alikamatwa na polisi , nataka niwape neno la pongezi .