Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kufuatia uchaguzi uliofanyika jana nchini Uganda, mawaziri 17 wa serikali ya Rais Museveni tayari wameshabwagwa huku matokeo yakiwa bado yanaendelea kutolewa, pamoja na mizengwe yoote anayofanyiwa mpinzani mkubwa Kizza Besigye kukamatwa na kuwekwa ndani mara kwa mara katika kipindi hiki cha uchaguzi, hongera sana wananchi wa Uganda kwa kufanya maamuzi.