Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ficha ujinga wako kwani Lowasa alikuwa anagombea uraisi huko uganda?Masikini lowasa,,
wanazidi kumkatisha tamaa tu.
wapinzani wataingia madarakani kwa njia ya mspinduzi kwa nchi za AfrikaRais wa maisha museven, toka enzi za mwinyi hapa kwetu jamaa anawaendesha tu ,wameshindwa hata kumpindua tu ?
Kwa hiyo ndio tusema hujamsikia alichosema Obama kuhusu Trump, ama ni kiburi chako tu!!? [emoji1] [emoji1]No true democracy in africa
TRUMP aliongea ukweli kuhusu Africans
kma CCM walivyo4cYaani viongozi wa kiafrica ni madikteta tu. Hakuna demokrasia. Jana nilishangaa kusikia kuwa uganda wamefunga mitandao ya kijamii mfano FB pamoja na huduma za utumaji / utoaji wa pesa kwa mtandao katika kipindi hiki cha uchaguzi!!!!!!!!!!!
Hii yote ni kuwanyima watu uhuru na kufanya uchaguzi usio wa haki.
Serikali zetu ZILIZO MADARAKANI ni JIPU LINALOPASWA KUTUMBULIWA.
MUSEVENI ATAPITAALAKINI SIYO KWA RIDHAA YA WANANCHI WA UGANDA BALI KWA MATAAKWA YA TUME YA UCHAGUZI UGANDA.
wanaogopa kuachisa madaraka wanakuwa wameliibia sana taifa lao....30 years is too long to be president. Viongozi wa africa hawaridhiki kabisa. Yaani unakaa madarakani hadi watu wanakuombea kifo
Sasa mbadala wa sisiemu ni nani? Hamna jinsi, tutawachagua hao hao sisiemu kama upinzani ndo kina Mbowe.We unataka ligi, kipi hakieleweki hapo? unajifanya kukimbia kivuli chako? unakataa kama we sio mfuasi wa ccm na siasa za maji taka wakati unatetea ushenzi na udhalimu wa ccm, hivi nyinyi wenye mahaba na ccm hamuoni waziwazi ujinga mnaofanya? rejea Kyle Zanzibar nini kinaendelea?
MagufuliTumo sana. Ni rais yupi Africa atathubutu kusimama kidedea ati alishinda kihalali mbali ya Zambia, Botswana, Nigeria & Ghana .
Ni nchi ya kidemokrasia.Tanzania ni nani?
Mbona mapovu yanakutoka sana, haya lia sasa...UPUMBAVUUU TU, WATU WANALIA LIA ALAFU WANAKOSA MSIMAMO KISHA WANAJIITA WAPINZANI ETI WANATAKA KUVITOA VYAMA TAWALA, hovyo kabisa! Kama upinzani wa Afrika ndo kama kona Mbowe, NASEMA HIVI, sahauni kushika dola.
Simple and clear, hutaki acha!