Tume ya Uchaguzi Uganda yamtangaza Museveni mshindi, Besigye apinga matokeo

Tume ya Uchaguzi Uganda yamtangaza Museveni mshindi, Besigye apinga matokeo

Una mahaba sana na ccm... kama wewe ni Ke, mumeo anafaidi sana....
Mimi nina uwezo wa ku-pollinate ktk yai la mama yako, dada yako au shangazi yako na kukuletea mdogo wako, nice/nephew wako au cousin wako kupitia vipenyo vya chini vya hao nduguzo niliowataja hapo juu, nadhani umeijua jinsia yangu!
 
Kufuatia uchaguzi uliofanyika jana nchini uganda, mawaziri 17 wa serikali ya raisi museveni tayari wameshabwagwa huku matokeo yakiwa bado yanaendelea kutolewa,pamoja na mizengwe yoote anayofanyiwa mpinzani mkubwa kizza besigye kukamatwa na kuwekwa ndani mara kwa mara ktk kipindi hiki cha uchaguzi, hongera sana wananchi wa uganda kwa kufanya maamuzi
nazihurumia sana nchi mbili Tanzania na Uganda , Eee baba Mungu usiwatupe watu wako .
 
Ukweli ni kuwa Kiza kashinda uchaguzi.Ila demokrasia ya kijeshi ndio inaendelea kumkumbatia mseveni.
 
Kufuatia uchaguzi uliofanyika jana nchini Uganda, mawaziri 17 wa serikali ya Rais Museveni tayari wameshabwagwa huku matokeo yakiwa bado yanaendelea kutolewa, pamoja na mizengwe yoote anayofanyiwa mpinzani mkubwa Kizza Besigye kukamatwa na kuwekwa ndani mara kwa mara katika kipindi hiki cha uchaguzi, hongera sana wananchi wa Uganda kwa kufanya maamuzi.

Kila kitu kinawisho
 
Bado Afrika tulipaswa kuendelea na denokrasia ya mfumo ya chama kimoja...kama China. Haya mambo ya vyama vingi ni uchafu...
Uchafu huo unasababishwa na watawala ambao wanajiona miungu watu,lkn hiyo yoote ni uoga wa kudhani kuwa serikali ikitawaliwa na chama kingine watagundua maovu yao waliyokuwa wanayatenda,ipo siku
 
"You want another Rap ? " yes ssebho ! - Hakika madaraka ni matamu mno , Museveni kaingia studio bila kupenda !
 
Uganda ilikuwa na mawaziri wangapi ili tuone ni kwa kiasi gani kuna anguko kubwa.
Ni nusu ya mawaziri wa serikali ya museveni hadi sasa na matokeo bado yanaendelea kutolewa
 
Kwanini wanapotezs gharama nyingi kwa uchaguzi wakati majibu wanayo.
 
Mimi nina uwezo wa ku-pollinate ktk yai la mama yako, dada yako au shangazi yako na kukuletea mdogo wako, nice/nephew wako au cousin wako kupitia vipenyo vya chini vya hao nduguzo niliowataja hapo juu, nadhani umeijua jinsia yangu!
Matusi ndio utamaduni wa viwavi wa lumumba, endelea kutukana tu
 
Ukweli ni kuwa Kiza kashinda uchaguzi.Ila demokrasia ya kijeshi ndio inaendelea kumkumbatia mseveni.
Hiyo ndio hali halisi na ndiyo maana hadi sasa wamezingira office yao
 
Ni nusu ya mawaziri wa serikali ya museveni hadi sasa na matokeo bado yanaendelea kutolewa
mkuu angalia uwezekano wa kupata mawasiliano ya katibu mkuu au viongozi wengine wa chama cha kiiza , maana nimejaribu kumpigia mwenyewe simu yake imezimwa , nadhani ni kwa vile jana alikamatwa na polisi , nataka niwape neno la pongezi .
 
Back
Top Bottom