Nguruka Senior Member Joined Dec 6, 2006 Posts 189 Reaction score 129 Jun 3, 2021 #1 TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza ratiba ya Uchaguzi Jimbo la Konde, Micheweni, Kaskazini Pemba na Kata sita za Tanzania Bara.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza ratiba ya Uchaguzi Jimbo la Konde, Micheweni, Kaskazini Pemba na Kata sita za Tanzania Bara.
S sakafuali New Member Joined May 31, 2021 Posts 1 Reaction score 0 Jun 4, 2021 #2 Wana bodi Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeshatangaza uchaguzi mdogo Jimbo la Konde kutokana na Kifo cha aliyekuwa Mbunge Khatib Said Haji Je CCM inaweza kulichukua hilo au litabaki kwa ACT Wazalendo
Wana bodi Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeshatangaza uchaguzi mdogo Jimbo la Konde kutokana na Kifo cha aliyekuwa Mbunge Khatib Said Haji Je CCM inaweza kulichukua hilo au litabaki kwa ACT Wazalendo
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 25,874 Reaction score 36,030 Jun 4, 2021 #3 Je, chadema watashiriki au watamuunga mkono mama na ccm ili kumkomoa marehemu kama ilivyokuwa muhambwe na buhigwe?
Je, chadema watashiriki au watamuunga mkono mama na ccm ili kumkomoa marehemu kama ilivyokuwa muhambwe na buhigwe?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jun 4, 2021 #4 Hapo hakuna uchaguzi ni maigizo tupu, acha CCM na ACT wapambane
M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 7,731 Reaction score 13,611 Jul 1, 2021 #5 Uchaguzi au uchafuzi???
U UDSM Alumni JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 2,530 Reaction score 1,370 Jul 1, 2021 #6 Zitto Sinema ya Muhambwe irudiwe