PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,455
Sasa kama uchaguzi Zanzibar ulikuwa na kasoro nyingi, je kura za Zanzibar kwa rais wa Muungano nazo si ni batili? Hivyo Matokeo pia yaliyotangazwa na NEC ni batili.
Kura za urais Zanzibar zipo pale pale matokeo yaliofutwa ni ya rais wa Zanzibar.hakuna matokeo ya Magufuli Zanzibar?
Kazi ndio kwanza inaanza, nchi inaingizwa kwenye matatizo makubwa sana na migogoro ya kisiasa isiyokuwa na msingi
Hizi kura za urais Bara zina haja ya kurudiwa...hatuwezi kuwa na uchaguzi wenye kasoro nyingi namna hii..haileti maana yoyote
Unataka UKAWA IPOTEZE NGOME YAKE YA PEMBA??
KWI KWI KWI
Huu ni UFISADI mkubwa kuliko Richmond, EPA, na Escrow.
Tume ivunjwe, iundwe mpya.
Washitakiwe kwa matumizi mabaya ya madaraka na mali ya umma
Ni kutia Taifa umasikini kwa kuendekeza ubinafsi.
NB: Kikwete ataendelea kuwa raisi kwa muda huu, kisheria. Na Wasira bado ni Waziri.