KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Cha ajabu TBC watakua wanarusha nyimbo za amani na vita vya rwanda na burundi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani hivi kitufe cha ''Like'' kiko wapi? Unastahili Like 100000 x 100000Ni kwamba Maalim Seif amepangua goli la mkono.....!
Kule zanzibar hakuna NEC bali ZEC ndo wanao siamamia hta kura za MuunganoKura za Muungano organiser wake ni NEC sio ZEC
Mwenyekiti wa ZEC amesema uchaguzi ulikuwa na kasoro nyingi, hivyo kwa mamlaka
aliyokuwa nayo amefuta matokeo yote ya uchaguzi Zanzibar. Uchaguzi kurudiwa tena.
Taarifa zaidi zinafuata
Halafu mnasema eti lowasa hajaibiwa kura??
hahaahhahahahahahhaaha
Mwaka huu lazima tuelewane
kuna jimbo la kusini limetangazwa kuwa waliojiandikisha wote wamepiga kura !! Hakuna mgonjwa, aliyesafiriri au aliyefariki ?
Halafu Eti AU na EAC wanasema uchaguzi ni huru na haki.
he is curiously looking to tanzania presidential 's election to see how his friend hon.president is practising democracy,in order to differentiate himself from either kagame or nkurunzima!!ni maneno ya busara sana na ya tahadhali kubwa.rais wa rwanda aliandikaje
aliyoyaandika Rais wa RWANDA yameanza kutimia....................
Naomba kuuliza je kura za urais za Lowassa na Magufuli nazo zimefutwa?