Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Wamezoea kushinda kwa kuiba kura, safari hii mzee mzima kawagomea.
 
Chini ya Serikali ya ccm si ajabu lakini kwa wapenda haki kufanya hvyo tu ni kati ya maajabu ambayo yanapaswa kurekodiwa kwa kumbukumbu yz vizazi vijavyo!
 
haya maamuzi yana athari gani kwenye kura za urais muungano?
 
Impact yake kwa uchaguzi mkuu JMT ni nini ?
 
JIFUNZE KWA UNDANI KIDOGO KIONGOZI, USIWE MVIVU WA KUFIKIRI NA HUKU MUNGU AMEKUPA AKIRI

tume-nec futeni matokeo ya urais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania.

Simple logic

kama tume ya kule zanzibar-zec inakiri kuwa uchaguzi ulikuwa na kasoro nyingi,
means hata matokeo ya ya urais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania inabidi yafutwe pia

kwa sababu

1. Kati ya lowassa/magufuli mmoja wao angekuwa rasi wa jamhuri ya muungano wa tanzania ambapo ndani ya kula ambazo wangepata zipo kura za kule zanzibar, hivyo kama zec imefuta matokeo kule means hata kura za urasi za jamuhuri ya muungano wa tanzania zifutwe pia.

2. Mpigaji kura wa zanzibar alipewa kura tano (watu wa kuwachagua), zikiwemo za rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, hivyo alipiga kura tano, hivyo ni ngumu kusema kuwa hizo kasoro zilimuathiri shein na maalimu seifu tuna siyo kura za raisi wa jamuhuri ya muuungano wa tanzania ( lowasa na magufuli)

tume ifute huu uchaguzi kwa kura za uraisi

kuendelea kulazimisha hiii ni kupoteza muda na pesa bure kabisa, na huenda machafuko yakazuka,

kasoro za wazi ziko nyingi sana
bumbuli-tanga idadi ya wapiga kura wote ni tofauti na kula zote zinazoonekana katika ubunge na urais.

Lakini pia kuna sehemu nyingi sana asilimia za matokeo hazimatch na
100% ya kura zote

poleni nec-mmeponzwa na marombe jr... Poleni, na mkicheza mnaliingiza taifa katika machafuko.

Matokeo yaliyofutwa ni URAISI WA ZANZIBAR na WAWAKILISHI.

Matatizo ni KARATASI ZA URAISI ZANZIBAR sio BARA!!! ..hivi jamani watu wa UKAWA kwanini mnataka kuleta vurugu ??
 
Matokeo yaliyofutwa ni yale ya ZEC; lakini ule wa NEC kwa upande wa bara na Zanzbar wenyewe haujafutwa, Zanzbar apart from kuchagua wawakilishi huchagua pia wabunge wa bunge la JMT na RAISI WA JMT, hizi kisheria ni chaguzi mbili tofauti
 
Rais wa Rwanda aliandikaje
.. Kikwete wa Tanzania atajitofautishaje na Kagame wa Rwanda na Nkurunziza wa Burundi!.. He is just another dictator.. who takes out his adversaries... " Walisema alituma ujumbe kwa Lowassa alipokuwa Mwanza au Bukoba.... sijui lakini Nina shaka na nyendo zake juu ya Tanzania na amani yetu!!
 
pia amesema maafisa wa tume walivua mashati na kutwangana kitu kilichoashiria tume haikua huru na maafisa walikuwa mawakala wa wagombea.
 
IMPACT IPO MKUUU

tume-nec futeni matokeo ya urais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania.

Simple logic

kama tume ya kule zanzibar-zec inakiri kuwa uchaguzi ulikuwa na kasoro nyingi,
means hata matokeo ya ya urais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania inabidi yafutwe pia

kwa sababu

1. Kati ya lowassa/magufuli mmoja wao angekuwa rasi wa jamhuri ya muungano wa tanzania ambapo ndani ya kula ambazo wangepata zipo kura za kule zanzibar, hivyo kama zec imefuta matokeo kule means hata kura za urasi za jamuhuri ya muungano wa tanzania zifutwe pia.

2. Mpigaji kura wa zanzibar alipewa kura tano (watu wa kuwachagua), zikiwemo za rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania, hivyo alipiga kura tano, hivyo ni ngumu kusema kuwa hizo kasoro zilimuathiri shein na maalimu seifu tuna siyo kura za raisi wa jamuhuri ya muuungano wa tanzania ( lowasa na magufuli)

tume ifute huu uchaguzi kwa kura za uraisi

kuendelea kulazimisha hiii ni kupoteza muda na pesa bure kabisa, na huenda machafuko yakazuka,

kasoro za wazi ziko nyingi sana
bumbuli-tanga idadi ya wapiga kura wote ni tofauti na kula zote zinazoonekana katika ubunge na urais.

Lakini pia kuna sehemu nyingi sana asilimia za matokeo hazimatch na
100% ya kura zote

poleni nec-mmeponzwa na marombe jr... Poleni, na mkicheza mnaliingiza taifa katika machafuko.

Impact yake kwa uchaguzi mkuu JMT ni nini ?
 
Wanasheria tusaidieni:

Kuna jurisdiction mbili hapa..moja inasimamiwa na ZEC na nyingine na NEC.

kwa kuwa ZEC imesema uchaguzi haukuwa huru na wa haki, je ni nini kitahalalisha uchaguzi uliosimamiwa na NEC? Kumbuka, ni sehemu ileile, wasimamizi walewale na wapiga kura wale wale, waliopiga kura chini ya ZEC na NEC.

Je, kitendo cha kuahirisha uchaguzi huu wa ZEC kitasababisha ucheleweshwaji wa matokeo ya NEC? Kumbuka, tayari NEC imeshatoa matokeo yaliyosimamiwa na ZEC lakini ni kwa ajili ya NEC.

Au kila tume ilikuwa na wasimamizi wake?
 
Matokeo yaliyofutwa ni URAISI WA ZANZIBAR na WAWAKILISHI.

Matatizo ni KARATASI ZA URAISI ZANZIBAR sio BARA!!! ..hivi jamani watu wa UKAWA kwanini mnataka kuleta vurugu ??

Kama huelewi taratibu nyamaza! ZEC zanzibar ndio inayogawa majimbo yote ya uchaguzi. Hata majina hayo ya wapikupiga kura yaliratibiwa na hao hao ZEC kwa maneno ya Lubuva. Simply ni kwamba CCM kashindwa vibaya Zanzibar. Hao ZEC walipotangaza hawakujipanga na sasa impact yake ni nchi nzima. UCHAGUZI WA TANZANIA NAO UFUTWE!
 
Sababu zilizotolewa na tume hazina mashiko yoyote. Haziko specific kana kwamba zanzibar kote kulikuwa na shida.

Hii tume inasababisha machafuko katika kulinda uozo. Ndo maana unaweza kuanza kuhakikisha kuwa miafrika tuna laana ya milele... majitu hayafikirii future na ustawi wa watu wengi bali wanafikiria mitumbo yao iliyojaa vi/nyesi

Nashauri CUF waende mahakamni.. labda haki itatendeka
 
Kwakuwa umefutwa kwa hamaki na mshituko kwa vyovyote hawakupata muda wa kupitia sheria wanasheria hapo ndio uwanja wenu mpenyo unaweza kupatikana,ila mahakama zetu nazo ni kikwazo
 
Kikwete na Mkapa ndio chanzo cha matatizo yote haya Dr.Shein alishakubali kusign kushindwa sijawahi ona kiongozi mnafiki kama kikwete chama mbele nchi nyuma sidhani hata kama anajua maana ya democracy kilaza siku zote ni kilaza tu
 
dah .. aibu kwetu watz tutajificha wapi! halafu kumbe mwenyekiti wa tume ana mamlaka ya kufanya assessment na kuambua uchaguzi wa nchi nzima ufutwe?
 
Back
Top Bottom