Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti wa ZEC amesema uchaguzi ulikuwa na kasoro nyingi, hivyo kwa mamlaka
aliyokuwa nayo amefuta matokeo yote ya uchaguzi Zanzibar. Uchaguzi kurudiwa tena.
Taarifa zaidi zinafuata
Wafute na bara maana kuna kura za urais kule itakuwaje, akina mbowe nao watangaze tufute bara
Hatimaye ZEC wamefitilia mbali uchaguzi wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa tangazo la ZEC wameainisha mambo mawili ambayo yamepelekea kufutwa kwa uchaguzi huo ambayo ni mgombea mmoja kujitangaza mshindi kinyume cha taratibu na jambo lingine wamedai kuwa uchaguzi huo haukuwa wa huru na haki.
ITV walikuwa LIVE dakika chache zilizopita na hakukuwa na kitu kama hicho......watu bado wanasubiri matokeo BWAWANI Hotel....