Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Tume imeshajiuzulu kwa kushindwa kusimamia uchaguzi ili uwe huru na wa haki? Huo uchaguzi mwingine utasimamiwa na tume ile ile?
Nadhan uchaguzi wa marudio utasimamiwa na tume ya uchaguzi ya Jeshi la wananchi
 
Mechi za mtaani utotoni. Mwenye mpira akifungwa sana analia anondoka na mpira wake. Naona mambo ndo yalivyokuwa
 
Mwanakijiji na chahali mpo nje mje kuwatetea ZEC
 
Kama ipo ipo tu wakati huu wa z'bar msifanye makosa kabisa.
 
Hahahahaha, wakati wanaanza kutangaza walikuwa hawajagundua kuwa kulikiwa na shida???? Naona wanataka wamalize bara ili kipindi cha uchaguzi jeshi zima na Polisi wahamie Zanzibar waweze kulazimisha ushindi tangu mwanzo!
 
Obviously Maalimu kashinda, ila system haitaki kuukubali ukweli
 
Naamini hapa hatukosi majibu. Tume ya uchaguzi zanzibar imefuta uchaguzi wa visiwa hivyo. Naomba kujua,km zec imefuta uchaguzi huo kwa sababu walizozitaja,vp kuhusu kura za urais wa jamhuri ya muungano wa Tz??

Km uchaguzi wa zanzibar umefutwa na utaathiri matokeo ya urais wa jamhuri,uchaguzi wa Tz bara utabaki kuwa halali!!?? Naomba kuelimishwa.
 
Hii ni hatari kwa Taifa.Tusubiri tuone.Ni uamuzi mbaya!
Katika hali ya kushtua Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar(ZEC) imetangaza kuyafuta Matokeo ya urais wa Zanzibar.

Yadaiwa Uchaguzi uligubikwa na kasoro nyingi.

Imeahidi kutangaza tarehe rasmi ya kurudiwa uchaguzi.

Chanzo: ZBC TV
 
chama cha mapinduzi. Aseeh hiki chama
 
Miaka yoote wapiga kura huwa wanatoka bara kwa sababu huwa tunapishana tarehe na siku ya kupiga kura! mwaka huu wakagonganisha sahani na vikombe! CCM wamejua wameshindwa!!
Wanajiandaa kupeleka nyomi a.k.a mtiti wa askari na wapiga kura. Kama hali ndio hii haina ahaja ya kufanya uchaguzi kuwasimamisha watu juani
 
Naona ZEC wanataka kuileta Tanzania kwenye ramani ya kimataifa.
 
Kma masihara, kama mzaha na utani utani.......CCM inatupeleka shimoni, natamani mwanakijiji aje hapa atoe comments zake.
 
wakati waandishi wako bwawani kumsubiri mwenyekiti, hakuonekana tangu asubuhi wala hakuhudhuria kwenye tume, inaonesha mwenyekiti anapotangaza palikua na mpiga camera na jecha tu, hapakuonekana mtu mwengine yoyote
 
Sasa kwanini na bara wasifute matokeo au kwa sababu UKAWA wamezembea kutangaza matokeo yao!!!!
 
Back
Top Bottom