Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Asante umejileta vizuri sana, sasa swali linarudi kwako, kama umesema hujawahi kusikia uchaguzi unarudiwa nchi nzima hata kama kuna majimbo yenye utata sasa ni kwa nini Zanzibar wanarudia? kwa maelezo yako si ni kwamba wangerekebisha hayo majimbo yenye utata tu?

yani unashangaa la kurudia kupiga kura bara lakini hushangai la uchaguzi wote kufutwa zanzibar???

kweli sa ivi mmedakwa bafuni wakati bao la mkononi ndo linakaribia tu kutoka,au safari hii mlitumia sabuni ya REVOLA ISIYO NA POVU JINGI?

Watu wanajitoa fahamu kwa maksudi tu.
 
Hata mm mkuu nashanga sana uharari wa hizi kula wakati wapiga kur ni wale wale, vituo vile vile, wasimamizi wale wale. Kiukweli Africa hakuna Democracy, tuombe ajratokee tu kiongozi anae wapenda wananchi wake na afanye maendeleo ya nchi nakuweka misingi ya kidemocracia, vinginevyo haina hata haja kuwa na uchaguzi maana vizaz vya viongozi wetu watendelea kuwa viongozi siku zote kwaabavu kama haya.

Sio kweli.. kuna watu wa Tanzania bara ambao hawapigi kura za raisi wa zanzibar na wawakilishi. Wao wanampigia rais na wabunge wa jamhuri tu. Kura zao zifutwe.?
 
Haipo hivyo wewe! Zanzibar kuna kura za nec na za zec na zote zina waangalizi tofauti! Sema mpiga kura ni yuleyule!

Sio kweli..kuna aina mbili ya wapiga kura.Kuna wabara ... hawa hawaruhusiwi kuwapigia kura rais na wawakilishi wa zanzibar. Halafu kuna wazanzbari ambao wao hupiga kura zote.
 
Kila siku nalia humu kuhusu tume uhuru.

Kwamba, hizi tume zinazoundwa na CCM kamwe haziwezi kumtangaza mgombea asiye wa CCM kuwa ndo mshindi.

Na haya ya leo ndo ushahidi wenyewe sasa.

The Boss where ya at?



Ngabu fuatilia tu matokeo ya urais TZutagundua kitu
hazitazidi kura milioni 11 wakati waliojiandikisha walikuwa milioni 23
na turn out ilikuwa more than 80 percent....utabaki unajiuliza nini kimetokea
 
hapa ninachoshangazwa ni kwanini matokeo ya uchaguzi ZnZ yafutwe,lakini matokeo hayohayo kwa bara yaonekane yapo active ktk mchakato wa URAIS
 
Katika hali ya kushtua Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar(ZEC) imetangaza kuyafuta Matokeo ya urais wa Zanzibar.

Yadaiwa Uchaguzi uligubikwa na kasoro nyingi.

Imeahidi kutangaza tarehe rasmi ya kurudiwa uchaguzi.

====
Statement:

vU05dG9.jpg

EdIidYV.jpg

BLhdlD9.jpg


VIDEO:

Chanzo: ZBC TV


zec haijafuta matokeo ya urais aliyefuta ni jecha kama jecha
 
Last edited by a moderator:
Hii siku nililia kabisa cha ajabu jecha akachukua fomu za kugombea urais 2020
 
Back
Top Bottom