Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
machafuko utaleta wewe. Hata kama kamzidi kura milioni moja bado rais wa nchi anschaguliwa na wa zanzibar pia.
kura za urais wa jamhuri ya muungano zinasimamiwa na NEC si ZEC
Sasa ulitaka NEC watangaze nini? USIKURUPUKE, TOA HOJA!Wewe ndg unajielewa? au ndio January Makamba alivyowakaririsha....Ingekuwa hivyo kwanini NEC walitangaza Matokeo ya Kura za huko kwenye uRais wa MUUNGANO
Anaingiza Muungano kwenye matatizo makubwa sana ya Kikatiba! Amekurupuka vibaya sana. Wale washauri wake wamekosea sana!
Wana jamvi, moja ya sababu zilizopelekea ZEC kughairisha uchaguzi wa Zanzibar ni uchaguzi huo kutokuwa wa huru na haki.
Karibu waangalizi wote wa kimataifa wametoa ripoti zao na kusifu kuwa uchaguzi wa Tanzania umekuwa wa huru na haki.
Swali langu ni je waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa wametoa ripoti zao kwa kuangalia hali halisi ya uchaguzi?
umefutwa, ni baada ya Maalim Seifu kujitangazia ushindi, bila kufuata utaratibu
Jamani mambo mengine sio rocket science.
Kama ZEC imebatilisha matokeo ya visiwani basi hata yale matokeo ya visiwani yanaowahusu wagombea wa JMT (Magufuli, Lowasa, na wengine) ni batili LAKINI matokeo ya bara sio batili.
Kinachofuatia ni hiki:
1. Kama Magufuli amemzidi Lowasa kwa kura (za bara) zaidi ya watu wote waliojiandikisha kupiga kura visiwani basi Magufuli atatangazwa kama raisi wa JMT.
2. Kama hii tofauti ya kura ni chini ya wapiga kura wote wa visiwani basi matokeo haya ya bara yatakuwa provisional na tutasubiri visiwani wapige kura upya ndio mshindi wa uraisi wa JMT atakapotangazwa.
Msitutie kwenye machafuko yasio na msingi.
Wewe unafikiri penalty shoot out hii kwamba kama ushakosa penalty mbili na mwenzako kapata nne, kwa hiyo ya mwisho huna haja ya kupiga.
Sheria iko wazi kuwa Rais wa Muungano atatokana na uchaguzi wa Bara na Visiwani. Hata kama asipate kura hata moja visiwani, lakini kura zipigwe ama process iwe valid.
Hiyo logic yako weka upande
Ni sawasawa kabisa. Lazima pande zote zihusike. Hivi iwapo upande wa Zanzibar hawajampigia kura hata moja mgombea wa urais wa jamhuri inakuwaje?Wewe unafikiri penalty shoot out hii kwamba kama ushakosa penalty mbili na mwenzako kapata nne, kwa hiyo ya mwisho huna haja ya kupiga.
Sheria iko wazi kuwa Rais wa Muungano atatokana na uchaguzi wa Bara na Visiwani. Hata kama asipate kura hata moja visiwani, lakini kura zipigwe ama process iwe valid.
Hiyo logic yako weka upande
Katika sababu alizozitoa yeye mwenyekiti hio ya Seif sharif kujitangazia hamna. Na jengine kuwa Seif Sharif hakujitangazia bali alitoa takwimu inayoonyesha kuwa yeye ndie mshindi na akataka tume ya Zec imtangaze mshindi