ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Hii ni sawa na mchezaji kupigwa red card katika dakika 90 za mchezo. Baada ya extra time akaunganika na wenzake akapiga penalty na akafunga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La ajabu alilosema Lubuva mchana huu ni kuwa kura za wabunge na rais wa jamuhuri kwa upande wa zanzibar wamezipokea kutoka majimbo yote na hazina kasoro yoyote hivyo zinahesabika ni halali.
Pia kasema kura zilizopigwa ni nyingi kuliko waliojiandikisha.
w
swali. Iweje za jamihuri ziwe sawa lakini za shein na maali ziwe zimezidi. Kivipi wakati walichagua pamoja. Au ndio ulofa huu tulioambiwa watanzania ni malofa.
Lakini mkuu huo uchaguzi umefanyikia wapi??? Si zanzibar??! Kama zec wamesema kura ni batili kwanini wewe unasema ni halali???
Mkuu mbona suala hilo liko wazi kabisa,kisheria kazi za NEC na ZEC hazingiliani kabisa kiutendaji - hapa watu wanaleta ubishi aidha kwa kutojua au kwa kufikiri suala la Zanzibar litalazimisha NEC ifute matokeo yote na kuitisha uchaguzi upya!Wacha uwongo ZEC hawajafuta kura za ubunge na uraisi wa muungano.Hizo haziwahusu na hawana nguvu nazo kisheria na hawazisimamii.Walizofuta ni za raisi wa Zanzibar na baraza la wawakilishi!!
Hoja:~ Swali ni kwamba kama uchaguzi wa zanzibar umefutwa ina maana kura za visiwani wagombea wa bara hawazipati
~ Kwa mjibu wa Katiba ya tz (1977) ibara ya 96 kifungu cha 2 kipengere cha 6 (a) endapo uchaguzi utafutwa Zanzibar hata Tanzania bara pia utaonekana batili manake Rais huchaguliwa na pande zote mbili.
ZEC ni kwa Rais wa Zanzibar na Wawakilishi wa Zanzibar kwenye Baraza la WAwakilishi huko Zanzibar...according to the Act below:
![]()
Hiki ni kituko cha Mwaka...Jechs S Jecha umelikoroga kwa kwenda kuomba ushauri upande wa pili.
Hivi hii tume haina wanasheria?
1. Tangazo lenyewe halina Tarehe
2. Mwenyekiti katoa maelezo halafu haja sema ni kifungu gani cha sheria kinacho toa mamlaka kwa Tume Kufuta Uchaguzi?
3. Tume haijaeleza kama wapiga kura walizidi kwenye vituo kuliko wale walio andikisha na kwa kuwa wale wale waliopiga kura kwa ajili ya viongozi wa Zanzibar ndo hao hao waliopigia Rais wa JMT, Tume kwanini haijasema mustakbari wa kura za rais wa JMT?
Huu ni mwanzo wa Picha tu...mengi yataibuka ngoja tusubiri
Hayo maneno ni ya mtu na hujui kayasema kwa dhamira gani.Mkuu mbona suala hilo liko wazi kabisa,kisheria kazi za NEC na ZEC hazingiliani kabisa kiutendaji - hapa watu wanaleta ubishi aidha kwa kutojua au kwa kufikiri suala la Zanzibar litalazimisha NEC ifute matokeo yote na kuitisha uchaguzi upya!
Kitu kinacho nishangaza mimi imekuwaje tena kisiwa cha Pemba ndio kibainike kuwa na idadi kubwa ya kura za kughushi,si hilo tu vile vile Mh.Magufuli alipata idadi ndogo ya kura kutoka Pemba unlike Unguja-kwa nini? Maalim Seif ni mwenyeji wa Pemba na yupo kwenye kundi la UKAWA hivyo sitashangaa kama wenzao Bara hawatajaribu kukataa matokeo au kijitangazia ushindi,watakuwa wameweka mikakati inayo fanana fanana ya Maalim Seif.
sio kweli KURA za BARA na VISIWANI hazichanganywi, NEC wanasimamia kura za Raisi wa Tanzania, bara na visiwani, huko Zanzibar wamejichanganya wenyewe na kura zao. Sisi huku bara mambo yataendelea kama kawaida.
Jamani tuache unafiki barua inaonesha ni uchaguzi wote wa Zanzibar na sio wa Urais tu. Kwa hiyo kuna athari kwa uchaguzi mkuu wa nchi.
Mimi nionavyo ni kuwa Seif amewapa kifurushi cha kinyesi ZEC-ccm na enyewe ZEC imeamua kijipaka kinyesi hiko.Makamba hakuiambia tume/kuishinikiza imtangaze magufuli mshindi chap chap!Wala hakutishia machafuko, alionge kama sie wa kwenye mitandao
machafuko utaleta wewe. Hata kama kamzidi kura milioni moja bado rais wa nchi anschaguliwa na wa zanzibar pia.Jamani mambo mengine sio rocket science.
Kama ZEC imebatilisha matokeo ya visiwani basi hata yale matokeo ya visiwani yanaowahusu wagombea wa JMT (Magufuli, Lowasa, na wengine) ni batili LAKINI matokeo ya bara sio batili.
Kinachofuatia ni hiki:
1. Kama Magufuli amemzidi Lowasa kwa kura (za bara) zaidi ya watu wote waliojiandikisha kupiga kura visiwani basi Magufuli atatangazwa kama raisi wa JMT.
2. Kama hii tofauti ya kura ni chini ya wapiga kura wote wa visiwani basi matokeo haya ya bara yatakuwa provisional na tutasubiri visiwani wapige kura upya ndio mshindi wa uraisi wa JMT atakapotangazwa.
Msitutie kwenye machafuko yasio na msingi.
Wengine wameenda hadi Israel, Vatican, mecca Na Medina kuhijiKuna watu nchi ni watu wazima lakini akili hazimo kabisa!! na watu hawa utawakuta misikitini na makanisani na tena msitari wa mbele lakini damu iko mikononi mwao!! Ni hatari!!