Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu


Watu wanajitoa fahamu kwa maksudi tu.
 

Sio kweli.. kuna watu wa Tanzania bara ambao hawapigi kura za raisi wa zanzibar na wawakilishi. Wao wanampigia rais na wabunge wa jamhuri tu. Kura zao zifutwe.?
 
Haipo hivyo wewe! Zanzibar kuna kura za nec na za zec na zote zina waangalizi tofauti! Sema mpiga kura ni yuleyule!

Sio kweli..kuna aina mbili ya wapiga kura.Kuna wabara ... hawa hawaruhusiwi kuwapigia kura rais na wawakilishi wa zanzibar. Halafu kuna wazanzbari ambao wao hupiga kura zote.
 
Kila siku nalia humu kuhusu tume uhuru.

Kwamba, hizi tume zinazoundwa na CCM kamwe haziwezi kumtangaza mgombea asiye wa CCM kuwa ndo mshindi.

Na haya ya leo ndo ushahidi wenyewe sasa.

The Boss where ya at?



Ngabu fuatilia tu matokeo ya urais TZutagundua kitu
hazitazidi kura milioni 11 wakati waliojiandikisha walikuwa milioni 23
na turn out ilikuwa more than 80 percent....utabaki unajiuliza nini kimetokea
 
hapa ninachoshangazwa ni kwanini matokeo ya uchaguzi ZnZ yafutwe,lakini matokeo hayohayo kwa bara yaonekane yapo active ktk mchakato wa URAIS
 

zec haijafuta matokeo ya urais aliyefuta ni jecha kama jecha
 
Last edited by a moderator:
Hii siku nililia kabisa cha ajabu jecha akachukua fomu za kugombea urais 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…