gambada ynwa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 390
- 371
Ukawa toeni tamka mara moja. Tupo tayari kwa lolote. Huu ni upuuzi wa hali ya juuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchaguzi wa muungano hausimamiwi na ZEC, ni NEC mkuu...
Wana jamvi
Ukurasa mpya wa kisiasa umefunguka nchini.
-Hivi inawezekana uchaguzi ukakosa uhuru na haki kwa kura ya urais tu?
-Hivi kasoro hizo zimeonekana baada ya Maalim kujitangazia matokeo?
Haramu n Halali havijawahi kukaa chungu kimoja. Urais haramu ndani ya chungu halali cha urais wa jamhuri, ubunge, uwakilishi, udiwani.
Hata tume ni haram
Kikwete na Mkapa ndio chanzo cha matatizo yote haya Dr.Shein alishakubali kusign kushindwa sijawahi ona kiongozi mnafiki kama kikwete chama mbele nchi nyuma sidhani hata kama anajua maana ya democracy kilaza siku zote ni kilaza tu
Wana jamvi
Ukurasa mpya wa kisiasa umefunguka nchini.
-Hivi inawezekana uchaguzi ukakosa uhuru na haki kwa kura ya urais tu?
-Hivi kasoro hizo zimeonekana baada ya Maalim kujitangazia matokeo?
Haramu n Halali havijawahi kukaa chungu kimoja. Urais haramu ndani ya chungu halali cha urais wa jamhuri, ubunge, uwakilishi, udiwani.
Hata tume ni haram
Ya bara hayawez futwa sababu
Kura tofauti kuna karatasi ya rais JMT na karatasi ya kura ya rais WA serikali ya mapinduz znz ni vitu tofauti na mara nyingi tarehe ya kura inakuwa tofauti lkn ths Tim wameweka tareh moja
Zanzibar ni kama Jimbo, wao kama wamevuruga, sio Tanzania nzima warudi.
Sijui kwanini ZEC hawaelezi vizuri, naona watu wa Bara wanashindwa kutatua chemsha bongo/brain teaser ya kilichotokea.
Azam tv pia wamesema, maalim kaliwa masikini
Inashangaza basi kwa sababu ukisoma sababu za kufutwa Uchaguzi ni dhairi ziliathiri uchaguzi wote. Kumbuka ni ZEC ndiyo inasimamia uchaguzi mzima ukiwemo wa wabunge na Rais wa JMT (kwa niaba ya NEC) na matatizo ya taratibu yataathiri kotekote. Na kwa jinsi hiyo Tume kwa maana ya NEC je ina uwezo wa kutangaza mshindi wa urais wa JMT wakati upande mmoja wa Jamhuri ya Muungano haijapiga kura. Hata kama idadi yao haitaathiri matokeo lakini kutaleta mpasuko mwingine wa muungano wetu kwa mantiki kuwa Rais aliyechaguliwa hakuungwa mkono na upande mmoja wa muungano!Mkuu matokeo ysliyofutwa ni ya serikali ya mapinduzi na sii ya muungano.
Tambua kwamba wazanzibar wamechagua rais wa Zanzibar na rais wa muungano.
Na kasoro zipo kwenye uchaguzi wa rais wa Zanzibar na sii rais wa muungano.