Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Tume ya Uchunguzi imetoa wito kwa wananchi kupuuza ushawishi wowote unaolenga kuwazuia kushirikiana na tume hiyo na badala yake watoe maoni na ushauri kwa tume.
Wito huo umetolewa Desemba 26 kupitia taarifa ya tume kwa umma iliyobainisha kuwepo kwa watu au makundi ya watu yanayotekeleza ushawishi huo wenye lengo ovu.
"Tume ya Uchunguzi ipo kwa ajili ya Watanzania wote, na mafanikio ya kazi yake yanategemea ushiriki mpana, wa hiari na wenye uwazi kwa wananchi," imefafanua taarifa hiyo na kusisitiza kuwa amani, mshikamano na mustakakabali salama wa Taifa ni jukumu la kila mmoja.
Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025