Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Tume hii ya kuipa maoni gani ?!. Walioamuru askari kupiga risasi na kuua raia ndiyo waliounda tume. Ili iwachunguze . Halafu unaware maoni gani !!Tume ya Uchunguzi imetoa wito kwa wananchi kupuuza ushawishi wowote unaolenga kuwazuia kushirikiana na tume hiyo na badala yake watoe maoni na ushauri kwa tume.
Wito huo umetolewa Desemba 26 kupitia taarifa ya tume kwa umma iliyobainisha kuwepo kwa watu au makundi ya watu yanayotekeleza ushawishi huo wenye lengo ovu.
"Tume ya Uchunguzi ipo kwa ajili ya Watanzania wote, na mafanikio ya kazi yake yanategemea ushiriki mpana, wa hiari na wenye uwazi kwa wananchi," imefafanua taarifa hiyo na kusisitiza kuwa amani, mshikamano na mustakakabali salama wa Taifa ni jukumu la kila mmoja.
Kwani ile kesi waliyofunguliwa kuwapinga imeishia wapi?Tume ya Uchunguzi imetoa wito kwa wananchi kupuuza ushawishi wowote unaolenga kuwazuia kushirikiana na tume hiyo na badala yake watoe maoni na ushauri kwa tume.
Wito huo umetolewa Desemba 26 kupitia taarifa ya tume kwa umma iliyobainisha kuwepo kwa watu au makundi ya watu yanayotekeleza ushawishi huo wenye lengo ovu.
"Tume ya Uchunguzi ipo kwa ajili ya Watanzania wote, na mafanikio ya kazi yake yanategemea ushiriki mpana, wa hiari na wenye uwazi kwa wananchi," imefafanua taarifa hiyo na kusisitiza kuwa amani, mshikamano na mustakakabali salama wa Taifa ni jukumu la kila mmoja.
Kwenda kutoa maoni au hata kutuma picha na maoni Yako ni sawa na KUJIKAANGA FOR YOUR OWN OIL..Tume ya Uchunguzi imetoa wito kwa wananchi kupuuza ushawishi wowote unaolenga kuwazuia kushirikiana na tume hiyo na badala yake watoe maoni na ushauri kwa tume.
Wito huo umetolewa Desemba 26 kupitia taarifa ya tume kwa umma iliyobainisha kuwepo kwa watu au makundi ya watu yanayotekeleza ushawishi huo wenye lengo ovu.
"Tume ya Uchunguzi ipo kwa ajili ya Watanzania wote, na mafanikio ya kazi yake yanategemea ushiriki mpana, wa hiari na wenye uwazi kwa wananchi," imefafanua taarifa hiyo na kusisitiza kuwa amani, mshikamano na mustakakabali salama wa Taifa ni jukumu la kila mmoja.
Haramu haigeuki halali kwa matamkoTume ya Uchunguzi imetoa wito kwa wananchi kupuuza ushawishi wowote unaolenga kuwazuia kushirikiana na tume hiyo na badala yake watoe maoni na ushauri kwa tume.
Wito huo umetolewa Desemba 26 kupitia taarifa ya tume kwa umma iliyobainisha kuwepo kwa watu au makundi ya watu yanayotekeleza ushawishi huo wenye lengo ovu.
"Tume ya Uchunguzi ipo kwa ajili ya Watanzania wote, na mafanikio ya kazi yake yanategemea ushiriki mpana, wa hiari na wenye uwazi kwa wananchi," imefafanua taarifa hiyo na kusisitiza kuwa amani, mshikamano na mustakakabali salama wa Taifa ni jukumu la kila mmoja.
Hatuta toa maoni kwa hawa wahuni na wapumbafuTume ya Uchunguzi imetoa wito kwa wananchi kupuuza ushawishi wowote unaolenga kuwazuia kushirikiana na tume hiyo na badala yake watoe maoni na ushauri kwa tume.
View attachment 3521248
Jaji mkuu mstaafu Mohammed Chande Othman (kushoto), ambaye ni mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu 2025.
Wito huo umetolewa Desemba 26 kupitia taarifa ya tume kwa umma iliyobainisha kuwepo kwa watu au makundi ya watu yanayotekeleza ushawishi huo wenye lengo ovu.
"Tume ya Uchunguzi ipo kwa ajili ya Watanzania wote, na mafanikio ya kazi yake yanategemea ushiriki mpana, wa hiari na wenye uwazi kwa wananchi," imefafanua taarifa hiyo na kusisitiza kuwa amani, mshikamano na mustakakabali salama wa Taifa ni jukumu la kila mmoja.
kama muhusika ameshasema alitumia nguvu sahihi, na kuwa yeye ni Amiri Jeshi Mkuu! na alikuwa Analinda DOLA na kuwa wanaohoji ni akina WHO ARE YOU! kuna haja gani ya wananchi kutoa maoni malizaneni naye maoni yaliyobaki NYIE MALOFATume ya Uchunguzi imetoa wito kwa wananchi kupuuza ushawishi wowote unaolenga kuwazuia kushirikiana na tume hiyo na badala yake watoe maoni na ushauri kwa tume.