PostGE2025 Tume ya Uchunguzi: Puuzieni wanaoshawishi msitoe maoni, shirikianeni na tume

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Waende kwenye website ya Tanzania massacre waanzie huko
 
Huu ni upuuzi mtupu. Hakuna mtu mwenye akili timamu atakayetoa ushahidi kwenye tume fake hiyo iliyoundwa na raisi fake.
Hata hivyo hayo majamaa ya tume fake yatakuja na report fake. Yaani upumbavu wa hali ya juu
 
Samia na Mwigulu wanajua kila kitu. Wakae nao watapata cha kuandika kwenye report yao
 
NI mtu mjinga tu ndio atapeleka kinachoitwa ushahidi kwa hao manyang'au wanaojiita tume ya uchunguzi.
 
Wapike tu ripoti inayotakiwa na serekali. Mbona tume iliyoitwa huru ya uchaguzi ilipika matokeo, wao wanakwama wapi? Tume inayotakiwa na serekali ni kusema waliotoa ushaidi na maoni yao ni 35m, na 28 milioni walisema cdm ndio chanzo cha vurugu, na wanapendekeza chama hicho kifutwe.
 
Tume hii ya kuipa maoni gani ?!. Walioamuru askari kupiga risasi na kuua raia ndiyo waliounda tume. Ili iwachunguze . Halafu unaware maoni gani !!
Na walioamuru watu wachome vituo vya polisi na kukata watu vidole na kupora Mali za watu wameunda nini!? (Usitumie mkndu kufikiri)
 
Ikija tume kutoka nje tutatoa ushahidi ila sio hii tume ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…