PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 yawasilisha ripoti leo Aprili 23, 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Baadhi ya kauli Mbiu zilizochangia machafuko ni Oktoba tunatiki, Oktoba tunatoka, no Reform no Election, Samia Must Go.. Jaji Chande
 
🚮
 
“baadhi ya Wanasiasa na Wanaharakati walitumia changamoto za Wananchi zilizotokana na vyanzo mbalimbali kama fursa ya kuwashawishi Wananchi kushiriki ghasia hizo kwa kutumia kauli mbiu na matamko mbalimbali”

“Mfano wa kauli mbiu hizo ni no reforms no election, October tunatiki, Samia Must Go, tunahakikisha Nchi haisimami mpaka Serikali iondoke, Serikali hii imepoteza uhalali wa kuongoza Nchi hizo ni baadhi ya kauli” Jaji Chande

Kwa kauli hizi hivi kuna haja gani ya hiki chama cha CHADEMA kuendelea kuwepo nchini hiki ni kikundi cha kigaidi yani walitaka waiondoe Serikali halali madarakani na bado msajili anakiangalia tu
 
Sheria za kimataifa za kitaifa na kikanda, haziruhusu maandamano na waandamanaji kubeba silaha.. waandamanaji walibeba silaha mbali mbali za kijadi hivyo kuwa ni machafuko si maandamano
 
NI MUHIMU SANA KUKIFUTA CHAMA HIKI CHA SIASA MARA MOJA
 
Sheria za kimataifa za kitaifa na kikanda, haziruhusu maandamano na waandamanaji kubeba silaha.. waandamanaji walibeba silaha mbali mbali za kijadi hivyo kuwa ni machafuko si maandamano
maandamano ya kukinukisha hayaruhusiwi kulingana na sheria za kimataifa
 
Hii taarifa ndio mnasema haijahaririwa na ikulu ya Samuya? Mungu anawaona nyie wauaji wote mnaoficha ukweli wa mauaji na pia kuficha miili ya maiti zilizouliwa na kikundi cha kigaidi (sio serikali kwa kuwa hakukuwa na uchaguzi) kinachoongozwa na Samuya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…