PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 yawasilisha ripoti leo Aprili 23, 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
ICC The Hague ofisi ya Mwendasha Mashtaka mkuu Chief Prosecutor afikiwa na idara ya mawasiliano Ikulu ya Tanzania kwa mara ya kwanza mubashara, ili achukue muda kusoma ripoti ya Tume ya Samia kabla hajafungua mashtaka rasmi au la
 
Souvenons-nous du massacre de Samia du 29 octobre 2029.

 
ICC The Hague ofisi ya Mwendasha Mashtaka mkuu Chief Prosecutor afikiwa na idara ya mawasiliano Ikulu ya Tanzania kwa mara ya kwanza mubashara, ili achukue muda kusoma ripoti ya Tume ya Samia kabla hajafungua mashtaka rasmi au la
Kwani huyo mwendesha mashtaka iCC hajui janja ya wauaji?
 
Kwani huyo mwendesha mashtaka iCC hajui janja ya wauaji?

Mabalozi wa nchi za magharibi walikuwa wanafuatilia na kunukuu, kuandika katika shajara / diary zao

Huku wakuu wa mikoa na vigogo wengine wa serikali wakiwa wamekaa kizembe kusikiliza simulizi na kupiga makofi katika jambo hili la huzuni na aibu kuu kwa taifa la Tanzania

Aibu hii ililelewa na serikali ya CCM kwa miaka kibao hadi kupelekea raia kukosa uvumilivu na kuingia mtaani

View: https://m.youtube.com/watch?v=mLO29vAO4I0
 
Hivi ni kwanini serikali wasitoe majivu ya miili waliyochoma kwenye tanuru ndugu wakazike?
 
Chande kachagua upande wake wa historia kwenye nchi hii. Bahati mbaya sana kachagua upande mbaya wa historia.
 
Hi report imekuja kubariki yaliyotokea na kutoa mwanya kwa serikali kuendelea na ukamataji, huku ikijiosha dhidi ya lawama za kimataifa kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu.

Ni utumbo ule ule.!
 
UCHUNGUZI WA MAITI

Uchunguzi wa maiti (post-mortem) chini ya Sheria ya Uchunguzi wa Vifo Vyenye Mashaka ulifanyika katika hospitali mbalimbali za Rufaa Jijini Dar es Salaam na mikoani kwa maiti 260. Maiti nyingine hazikufanyiwa uchunguzi kwa kukosekana kwa ridhaa za ndugu na familia, ambao walitaka kuchukua maiti za ndugu zao kwa haraka ili wazike.”

“Kati ya maiti 260 zilizofanyiwa uchunguzi nyingi zilibainika kuwa na majeraha ya kutobolewa na vitu vyenye ncha kali au kuvunjika katika sehemu mbalimbali za miili. Majeraha hayo yalisababisha kupoteza damu nyingi hivyo kusababisha vifo. Aidha, maiti 21 hazikuonesha aina yoyote ya majeraha na maiti 6 zilikuwa na majeraha ya moto.”
 
Wanasema "Death before dishonor" huyu mzee Chande angekufa mapema angekua Shujaa kwa Wengi,kumbe mshenzi tu kama washenzi wengine,huwa wanapewa nini kua wajinga kwa kiasi hiki?maana kama Pesa wanazo..

siwezi ku compromise on values,Humanity,loyalty,or integrity, even if it means waniue,,or hawa majaji wanakua blackmailed???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…