Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Mifano ya mipango ilikuwa kuwepo kwa vijana wasiopungua 500 katika majengo, misitu na makambi mbalimbali nchini kwa takriban zaidi ya siku 28. Vijana hao walihifadhiwa na kupatiwa mafunzo maalum kwa ajili ya kufanya ghasia siku ya Uchaguzi Mkuu. Tume ilibaini moja ya nyumba hizo iliyopo Dar es Salaam ilikuwa umbali wa mita kumi tu kutoka kituo cha polisi #SautiZaWaathirika
#TumeYaUchunguziReport
Tume Ya Ukweli
#TumeYaUchunguziReport
Tume Ya Ukweli