Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Mambo ya intelejinsiaaaaa🤣Mafunzo yalitolewa, Usalama na polisi kwanini hawakufahamu? Ripoti inamiss vitu vya muhimu kwa raia.
Hahaha, ujue Haichekeshi mkuu.Mambo ya intelejinsiaaaaa🤣
Kwamba jeshi lilishindwa kufahamu kuwa kuna watu wanafanyiwa mafunzo mpaka kusababisha watu zaidi ya 500 kuuwawa ndani ya masaa 72? Sidhani kama tumefika huku, huenda kuna jambo halitakiwi kuwekwa wazi sasa katika kulificha linasababisha udhaifu wa taarifa.Kama ni kweli basi hii nchi ina majeshi ya hovyo kuwahi kutokea
Mambo mengine ni yakufikilisha inaonekana kabisa viongozi wetu hata kudanganya hawajui wana hanyahanya tuMifano ya mipango ilikuwa kuwepo kwa vijana wasiopungua 500 katika majengo, misitu na makambi mbalimbali nchini kwa takriban zaidi ya siku 28. Vijana hao walihifadhiwa na kupatiwa mafunzo maalum kwa ajili ya kufanya ghasia siku ya Uchaguzi Mkuu. Tume ilibaini moja ya nyumba hizo iliyopo Dar es Salaam ilikuwa umbali wa mita kumi tu kutoka kituo cha polisi #SautiZaWaathirika
#TumeYaUchunguziReport
Tume Ya UkweliView attachment 3580581
Unaonaeee kwanza ni aibu sanaKama ni kweli basi hii nchi ina majeshi ya hovyo kuwahi kutokea
Mambo mengine ni yakufikilisha inaonekana kabisa viongozi wetu hata kudanganya hawajui wana hanyahanya tu
Walete evidence wataje majina
Mifano ya mipango ilikuwa kuwepo kwa vijana wasiopungua 500 katika majengo, misitu na makambi mbalimbali nchini kwa takriban zaidi ya siku 28. Vijana hao walihifadhiwa na kupatiwa mafunzo maalum kwa ajili ya kufanya ghasia siku ya Uchaguzi Mkuu. Tume ilibaini moja ya nyumba hizo iliyopo Dar es Salaam ilikuwa umbali wa mita kumi tu kutoka kituo cha polisi #SautiZaWaathirika
#TumeYaUchunguziReport
Tume Ya UkweliView attachment 3580581
Nyie Matahira ndio mnaosema police ifutwe kwakuwa uhalifu bado upo.Mafunzo yalitolewa, Usalama na polisi kwanini hawakufahamu? Ripoti inamiss vitu vya muhimu kwa raia.
Ni kweli hayo mafunzo yalikuwepo na ni kwa vijana wa ccm, na yaliendeshwa na vyombo vya dola. Vijana hao waliopewa hayo mafunzo kuna wakati walikuwa wanaingia na mapanga, na silaha nyingine kuvuruga mikutani ya cdm ya NRNE. Na walikuwa wanaofanya haya polisi wakiwepo, na waliachiwa katika mazingira yasiyo ya wazi.Mifano ya mipango ilikuwa kuwepo kwa vijana wasiopungua 500 katika majengo, misitu na makambi mbalimbali nchini kwa takriban zaidi ya siku 28. Vijana hao walihifadhiwa na kupatiwa mafunzo maalum kwa ajili ya kufanya ghasia siku ya Uchaguzi Mkuu. Tume ilibaini moja ya nyumba hizo iliyopo Dar es Salaam ilikuwa umbali wa mita kumi tu kutoka kituo cha polisi #SautiZaWaathirika
#TumeYaUchunguziReport
Tume Ya UkweliView attachment 3580581