PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 yawasilisha ripoti leo Aprili 23, 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hatuko salama.

Tena akaenda mbali zaidi akasema walipuuza taarifa.

Bado wanafanya nini officini?
 
Huu upuuzi washirikishe mazezeta wenzako wa CCM, kama umeamini huu ujinga basi hata mtu akikuambia mimi ndiye nillimla mamako hadi ukazaliwa wewe utaamini kweli kuwa mimi ndiye baba yako mzazi.
 
📌Planet Data bundles was Here
 
Toa vijana andika Uvccm
 
Mkuu wa usalama wa Taifa bado yupo ofisini, IGP bado yupo ofisini.

Hii inasibitisha hii report ni proffesorial rubbish.
 
Ni haki ya raia kuhoji walipokuwepo polisi mpaka mafunzo yaliyopelekea watu 500+ kuuwawa kutokea. Huwezi kwepa uwajibikaji sababu mambo maovu hayazuiliki. Uwajibikaji ni sehemu ya uboreshaji.

Anyway huwa nasoma hoja zako, upo kutetea sio kujenga. Hapa serikali ikitumbua wahusika utakuja kusifia ilihali sasa hivi wanaohoji uwajibikaji unawaita matahahira.
 
Hivi huwa mnasoma na kujibu utumbo wa hao watu? Hao ni kula ignore mpaka wajikute wapo wenyewe
 
Reactions: Tsh
Ina maana hao hao waliofanyiwa mafunzo ndio walitapakaa mbeya, Arusha, mwanza, dar es salaam, rukwa ama ilikuwa Dar tu.
 
Reactions: Tsh
Hivi huwa mnasoma na kujibu utumbo wa hao watu? Hao ni kula ignore mpaka wajikute wapo wenyewe
Mkuu kuassume tatizo halipo hakuondoi tatizo na moja ya tatizo kubwa tulilo nalo ni watu na wanasiasa wanaosifia kila kitu au wanaoponda kila kitu.
 
Waishie huku huko Tanga wasifike kabisa .. Hapa ni kwetu , amani ni utajiri wenu ...Hatutaki kuwa wakimbizi .
 
Wananchi wamechukua nafasi muhimu katika kufichua siri za ghasia. Katika maeneo mengi, vijana walikuwa wakikusanywa na kufunzwa kwa muda mrefu. Ripoti inasema kuna nyumba salama Dar es Salaam iliyokuwa mita 10 tu kutoka kituo cha polisi, ushahidi wa ujasiri wa wahalifu na udhaifu wa ulinzi #SautiZaWananchi
#TumeYaUchunguziReport
Ripoti Ya Uchunguzi
 
Tume ilipata ushahidi mkubwa kutoka kwa wananchi wa kawaida ambao walikuwa karibu na matukio. Walifichua kwa uwazi matukio ya kabla, wakati na baada ya uchaguzi na kutoa picha halisi ya yaliyotokea nchini. #UshahidiWaWananchi
#TumeYaUchunguziReport
Uwajibikaji Wa Haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…