PostGE2025 Tume ya Uchunguzi yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hizo ni wishes za walioikatia tamaa Tanzania. Wanasiasa huja na kuondoka lakini Tanzania itabaki milele na milele Ni vyema kutatua matatizo yetu wenyewe ndani kwa ndani kuliko kujianika kwa hao unaowafagilia
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
DIRECTOR OF OPERATIONS (TISS)

Hivi WATANGANYIKA huwa mnasomaga kinachoandikwa ???
​
 
Nimesoma huu uzi tena na tena! Mimi raia wa kawaida kibondo huku tu natetemeka! Huu ndio uzi bora kuliko zote Mwaka 2025/26.
 
Hizo ni wishes za walioikatia tamaa Tanzania. Wanasiasa huja na kuondoka lakini Tanzania itabaki milele na milele Ni vyema kutatua matatizo yetu wenyewe ndani kwa ndani kuliko kujianika kwa hao unaowafagilia
Nadhani, mimi nawe tulijipa muda.

Siku siyo nyingi tutaitana hapa kwa ushahidi na rejea kadha wa kadhaa....
​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…